I declare it, I love you so much...

..ya kwako karibia tuipeleke kinondoni kuipumzisha milele..!
..ya mwallu pia natamani niiwekee doa lakini nashindwa coz Mentor mpole Sana..
. miss neddy yeye nimeshapata fursa, tutayamaliza hivi karibuni..
..ya kiwatengu ipo kwenye wish-list tayari.

Mwisho wa siku unapata raha gani?
 
Last edited by a moderator:
..ya kwako karibia tuipeleke kinondoni kuipumzisha milele..!
..ya mwallu pia natamani niiwekee doa lakini nashindwa coz Mentor mpole Sana..
. miss neddy yeye nimeshapata fursa, tutayamaliza hivi karibuni..
..ya kiwatengu ipo kwenye wish-list tayari.

Badala ya kusikitika umenifanya nicheke tu.Mhhh kweli unayaweza ila nahisi unawasumbua hao maana ni wapole
 
Last edited by a moderator:

Hizo ndoto za mchana Mkuu! Utakwenda wewe Sinza Au Mwana Kwerekwe Zanzibar lkn ndoa Yangu Na Khantwe itabaki pale pale!
 
hapana, labda kibanda maiti Zanzibar mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Hizo ndoto za mchana Mkuu! Utakwenda wewe Sinza Au Mwana Kwerekwe Zanzibar lkn ndoa Yangu Na Khantwe itabaki pale pale!
Mkuu kumbe kule chelsea unajifanya mgumu ila huku mpole
 
hehehe nimeona akibembeleza kwa maneno matamu,kweli mapenzi kitu kingine.

Hahahaha.....do not underestimate the power of mapenzi....achana nayo kabisa haya makitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…