I really feel lonely today, soon i will be on my way out of office but dont know what to do to cheer me up!
I really feel lonely today, soon i will be on my way out of office but dont know what to do to cheer me up!
<br /><span style="font-family: Comic Sans MS">Pole Swaumu hiyo ukifuturu yatakwisha.</span>
igwe mfungo huu bia hairuhusiwi kutamkwa hadharani utatuharibia swaumu
Beer itakusaidia,..anyway ni ushauri tu...waungwana msinipige mawe plz
Nasikia eti.
Bia inazeesha haraka
bia inampa m2 hang over
Bia inamaliza pesa
Bia ina danganya macho na kumuona mama mkwe ni mrembo kama First lady
Bia ina haribu ini
Bia inampa mtu kitambi
Bia inamfanya mtu kudharaulika kama analewa kila siku
Bia inamfanya m2 kusahau matumizi ya Condom
Bia imekatazwa kwenye Biblia na quran
Bia inavunja ndoa sometimes
Bia inarudisha maendeleo nyuma
Bia inasababisha ajali kama ukilewa sana na kuendesha
Bia
Bia
Bia
Mulizeni mengine Fidel na Asprin.
Igwe ushauri uko sawa ila tamka Bia kwa herufi ndogo watu wasisikie bana mfungo huu