I feel really lonely today!

I feel really lonely today!

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,100
I really feel lonely today, soon i will be on my way out of office but dont know what to do to cheer me up!
 
Nenda kwa mpenzi wako. Au yuko mbali
Nenda pia sehem ambazo utakutana na watu wengi ambao watakupa company ya story na vichekesho
 
Dahh pole..pole sana..manz wako kasafiri?
ohhh pole sana..nenda kafanye mazoez mawazo ayo yatakutoka..ukitoka apo utakuwa umechookka n u go strait 2bed siku inakuwa imekwsha...
poe sana....au weka mzik unaoupendaaaa utakuliwaza...au km familia yako ipo mjin apo bas nenda home kabuzi buzi urud kwako usku
 
I really feel lonely today, soon i will be on my way out of office but dont know what to do to cheer me up!

Pole dadiito!! I just feel it for you. huwa unapendelea sana kufanya nini in your free time?
 
Beer itakusaidia,..anyway ni ushauri tu...waungwana msinipige mawe plz
 
<span style="font-family: Comic Sans MS">Pole Swaumu hiyo ukifuturu yatakwisha.</span>
<br />
Kwani Mkirua amekuambia ni swaumu au loneliness inamsumbua. May be msichana wake kasafiri au katemwa
<br />
 
Igwe mfungo huu bia hairuhusiwi kutamkwa hadharani utatuharibia swaumu
 
Igwe ushauri uko sawa ila tamka Bia kwa herufi ndogo watu wasisikie bana mfungo huu
 
Beer itakusaidia,..anyway ni ushauri tu...waungwana msinipige mawe plz

Nasikia eti.

Bia inazeesha haraka
bia inampa m2 hang over
Bia inamaliza pesa
Bia ina danganya macho na kumuona mama mkwe ni mrembo kama First lady
Bia ina haribu ini
Bia inampa mtu kitambi
Bia inamfanya mtu kudharaulika kama analewa kila siku
Bia inamfanya m2 kusahau matumizi ya Condom
Bia imekatazwa kwenye Biblia na quran
Bia inavunja ndoa sometimes
Bia inarudisha maendeleo nyuma
Bia inasababisha ajali kama ukilewa sana na kuendesha
Bia
Bia
Bia

Mulizeni mengine Fidel na Asprin.
 
Vivian ni bia gani hiyo. Mbona wengine ni vimbambau wakubwa ila ni wanywaji wazuri.
 
Nasikia eti.

Bia inazeesha haraka
bia inampa m2 hang over
Bia inamaliza pesa
Bia ina danganya macho na kumuona mama mkwe ni mrembo kama First lady
Bia ina haribu ini
Bia inampa mtu kitambi
Bia inamfanya mtu kudharaulika kama analewa kila siku
Bia inamfanya m2 kusahau matumizi ya Condom
Bia imekatazwa kwenye Biblia na quran
Bia inavunja ndoa sometimes
Bia inarudisha maendeleo nyuma
Bia inasababisha ajali kama ukilewa sana na kuendesha
Bia
Bia
Bia

Mulizeni mengine Fidel na Asprin.

Hivyo vyote ulivyoorodhesha hapo ni batili,..ni katika jitihada zane za kukampenia kupinga furaha ya wenzinu....anyway tupo na tutapambana nanyi mpaka kieleweke,....i.e namaanisha sio kweli kabisa
 
Sasa mbona muhusika hajibu jamani? Kwe li he feels lonely when he is ignoring our attempts to cheer him up?
 
Back
Top Bottom