AshaDii nimeamini ni bingwa wa kutohoa maana nilivyoona neno lenyewe nikakimbilia tuki kuangalia maana yake nikatoka kapa
Mhh haya bana mi niko lonely nusu nusu huku niko lonely ila wa ubani hayuko mbali anafanya fanya vishughuli vya hapa na pale bado muda wa kuwa pamoja

Nasikia eti.

Bia inazeesha haraka

bia inampa m2 hang over

Bia inamaliza pesa

Bia ina danganya macho na kumuona mama mkwe ni mrembo kama First lady

Bia ina haribu ini

Bia inampa mtu kitambi

Bia inamfanya mtu kudharaulika kama analewa kila siku

Bia inamfanya m2 kusahau matumizi ya Condom

Bia imekatazwa kwenye Biblia na quran

Bia inavunja ndoa sometimes

Bia inarudisha maendeleo nyuma

Bia inasababisha ajali kama ukilewa sana na kuendesha

Bia

Bia

Bia

Mulizeni mengine Fidel na Asprin.
unamaanisha fidel na aspirin ndo wana hii orodha ya matatizo?
afu ww mentor wetu umemficha wapi banaa, kizuri kula na nduguyo bibie

ha ha ha....
wifi mbona wacheka? hujaona kule watu wamesononeshwa na mgomo wa tbl? lol

Well nimetoka job nikaenda kuzurura town kidogo did some stupid shopping then nikarudi home m feeling a lit better now. Thank u for caring cuteyPole dadiito!! I just feel it for you. huwa unapendelea sana kufanya nini in your free time?
Yes Preta kiasi fulani i got you guys here and thats why i love JF. True people, True friends
Dah hii inabidi utupe mkanda mzima ulikuwajeJF iko hivyo siku zote.....ukienda nayo hivyo......hata mimi ilishawahi kunitokea hali hii lakini rafiki wa JF walinirudisha kwenye mstari......tena ilikuwa live.....coz.....tulienda beyond keyboards