Mpatanishi
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,811
- 623
Hivyo vyote ulivyoorodhesha hapo ni batili,..ni katika jitihada zane za kukampenia kupinga furaha ya wenzinu....anyway tupo na tutapambana nanyi mpaka kieleweke,....i.e namaanisha sio kweli kabisa
kwel mkuu, tena labda kwa waislam, ila kwa wakristo wa roman kwao bia ni ruhusa hata kwenye sherehe za kanisa bila zinakuwepo na waumin wanakunywa!.