I fill the form......

I fill the form......

Karibu tena ya kiswahili, yaani keti jamvini upate wali na samaki wa nazi 🙂
 
Duh! Umeingia na gear kubwa kama Makonyagi? Karibu sana, ila na huyo makonyagi utamjua pia.

Hahahaaaa!haha umenikumbusha Makonyagi...yaani ule mkwara wake sitausahau kabisa.......!

BWT...Karibu sana Jamvini Fazaa lakini ucje potea kama Makonyagi anavyopoteaga!
 
Mkuu kama nyonyo zao ndo kama unavyo sema...basi nikuwacha walivyo mana hawabadiliki hata ufanye vipi...🙂😎


Dogo apo suirushe mawe gizani tulia tulia ! LOL🙄😎
 
Back
Top Bottom