Soulbrother
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 405
- 17
Karibu tena ya kiswahili, yaani keti jamvini upate wali na samaki wa nazi 🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Umeingia na gear kubwa kama Makonyagi? Karibu sana, ila na huyo makonyagi utamjua pia.
karibu Fazaa jisikie uko nyumbani.
Mkuu kama nyonyo zao ndo kama unavyo sema...basi nikuwacha walivyo mana hawabadiliki hata ufanye vipi...🙂😎
Gnasha mwambie kuwa hapa sio DHB, sasa vipi bado ndo yenu ipo? LOL