Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,438
- 6,313
Kabla ya kufanya jambo lolote mtandaoni fanya research ya kutosha. Ulichofanya ni uzembe unaoepukika,
Kuna watu ni wabishi sana kuna ndugu yangu mmoja alikua anakomaa kutuma pesa Western union eti wamfanyie trading, yani kwa akili ya kawaida nikupe dollar 50 unizalishie $200, unadhani huyo mtu angekua na uwezo huo angehangaika kuchukua hizo $50 zenu si angeweka zake awe milionaire kwa muda mfupi.