I have been scammed 1,100$ through Forex

Kabla ya kufanya jambo lolote mtandaoni fanya research ya kutosha. Ulichofanya ni uzembe unaoepukika,
Kuna watu ni wabishi sana kuna ndugu yangu mmoja alikua anakomaa kutuma pesa Western union eti wamfanyie trading, yani kwa akili ya kawaida nikupe dollar 50 unizalishie $200, unadhani huyo mtu angekua na uwezo huo angehangaika kuchukua hizo $50 zenu si angeweka zake awe milionaire kwa muda mfupi.
 
Ndugu pole sana.
Nilichogundua kuhusu wewe ni kuwa.
-Una matarajio makubwa sana.
-Unapenda mafanikio ya haraka haraka.
-Unapenda shortcut.
-Unaamini sana biashara inayofanyika online.
-Ni mpambanaji sana.

Kwa mtazamo wangu, utaendelea kutapeliwa kila mara mpaka hapo utakapoanza kubadilika kuhusu hiyo mitazamo yako.
 
Zanzibar-ASP,

100% right Nimefanya risk nyingi sana I’m cooling down naanza slow though sio style yangu let me cope thx Kwa ushauri ndugu yangu
 
Thanks I see mwaka 2019 ulikuwa mbaya sana kwangu I have lost a lot I hope will recover 2020 but 2019 was the worst year in my life
Ndugu usipobadilika wewe, hata mwaka huu 2020 utaendelea kupigwa zaidi.
Tatizo sio uwepo wa hao matapeli, tatizo ni udhaifu uliopo ndani yako.
Jitathmini.
 
Utakua wakishua wewe....acha wajanja wanufaike na ujinga wako! Tena nina uhakika walokutapeli wana ambizana!


Sent using Jamii Forums mobile app

Sio ujinga ndugu ni kutaka mafanikio haraka Na Kwa njia rahisi na hili ni tatizo la wengi pia tunapokuja kusema haya lengo ni kusaidia wengine Na kutoa maumivu tuliyonayo nothing more Boss
 
Yaani kuna watu vichwa maji mna hela za kuchezea hivi.
 
Hongera kubwa ninayokupa ni uwezo mkubwa ulionao wa kutambua makosa yao, kukiri binafsi ulipojikwaa na kutokukata tamaa kabisa. Few men can have such mindset. Safi sana.

That is big spirit to a man to reach into his success level. Ipo siku utatoboa fresh kabisa.
 

Asante sana ndugu yangu stay blessed
 
Kamari ni addiction mbaya sana inageuka kuwa ugonjwa mpaka uende hospitali
Huwezi kuambiwa eti ukiweka itazaa baada ya siku 7 kwani nzi?
Kama unawekeza wekeza kwenye makampuni makubwa kwa miaka hata mitano ila mambo ya kuwaza utapata faida kwa wiki sahau
Utapeli wa mitandao unawaumiza watu sana yaani hata hujui utafuatilia wapi na kubaki kulia tu
Pole


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
100% right Nimefanya risk nyingi sana I’m cooling down naanza slow though sio style yangu let me cope thx Kwa ushauri ndugu yangu

Tushaingia kwenye biashara ya kuchimba Na kuozesha mchanga with my bro we have used almost 80M and no return yet though next week tunaozesha Na bado hutujakata tamaa so nishafanya risk kubwa zaidi ya hii but this is my year up to June nitawapa mrejesho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…