I love Indian culture wanapenda sana family Gathering kila jioni

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
2,682
Reaction score
6,638
Napenda sana tamaduni ya wahindi ya kukusanyika pamoja kila jioni kama familia ndugu na jamaa inasaidia sana kutengeneza bond na kupanga mipango ya pamoja , kama umeishi upanga utagundua kuna migahawa haifunguliwi mchana ni jioni tu halafu unakuta kuna reserve table kwaajili ya familia fulani tu hii kitu ni nzuri sana waswahili inatupasa tuige
 
Napenda sana tamaduni ya wahindi ya kukusanyika pamoja kila jioni kama familia ndg na jamaa inasaidia sana kutengeneza bond na kupanga mipango ya pamoja , kama umeishi upanga utagundua kuna migahawa haifunguliwi mchana ni jioni tu halafu unakuta kuna reserve table kwaajili ya familia fulani tu hii kitu ni nzuri sana waswahili inatupasa tuige
Hujawahi kuishi na Wahindi ndo maana unawatamani, wale ni watumwa hawana amani ndani ya familia hawana personal/individual independence
 
Napenda sana tamaduni ya wahindi ya kukusanyika pamoja kila jioni kama familia ndugu na jamaa inasaidia sana kutengeneza bond na kupanga mipango ya pamoja , kama umeishi upanga utagundua kuna migahawa haifunguliwi mchana ni jioni tu halafu unakuta kuna reserve table kwaajili ya familia fulani tu hii kitu ni nzuri sana waswahili inatupasa tuige
Wale ni utamaduni wao unaona unaendelea kuishi nyumbani ndio maana unakuta familia kubwa watoto mpaka wajukuu wako pamoja, sasa sisi wa ukikua kajitafutie utakusanyika saa ngapi
 
Brz ukikaa upanga ni kama upo new Delhi, hawa jamaa wana umoja sana kila jioni utaona wanakusanyika kwa pamoja kama familia na ndg zao wa karibu . Wengi niliowaona mimi wapo hivyo
 
Wale ni utamaduni wao unaona unaendelea kuishi nyumbani ndio maana unakuta familia kubwa watoto mpaka wajukuu wako pamoja, sasa sisi wa ukikua kajitafutie utakusanyika saa ngapi
Yeah ni kweli wahindi hata mtoto akioa watata aendelee kuishi hapo hapo watampa tu floor ya juu ya ghorofa hawapendi kuachana , ila Bongo tunatawanyika
 
Napenda sana tamaduni ya wahindi ya kukusanyika pamoja kila jioni kama familia ndugu na jamaa inasaidia sana kutengeneza bond na kupanga mipango ya pamoja , kama umeishi upanga utagundua kuna migahawa haifunguliwi mchana ni jioni tu halafu unakuta kuna reserve table kwaajili ya familia fulani tu hii kitu ni nzuri sana waswahili inatupasa tuige
Wakitoka hapo bili yao si chini ya laki 3 kwa masaa kadhaa, wakati wabangubangu huo ni mtaji wa kuuza mifuko na vocha
 
Napenda sana tamaduni ya wahindi ya kukusanyika pamoja kila jioni kama familia ndugu na jamaa inasaidia sana kutengeneza bond na kupanga mipango ya pamoja , kama umeishi upanga utagundua kuna migahawa haifunguliwi mchana ni jioni tu halafu unakuta kuna reserve table kwaajili ya familia fulani tu hii kitu ni nzuri sana waswahili inatupasa tuige
Kiukweli hili ni jambo muhimu kwa familia, kutenga muda wa kukutana pamoja hata kama ni kwa dakika tano. Kujua kila mtu anaendeleaje.

Kipindi cha nyuma walifanya hivyo. Sahivi mambo yameenda kasi. Ndugu wa tumbo moja ila hawatembeleani, wanafichana taarifa za familia zao. Unashangaa tu hataki eti ndugu zake wajue watoto wake wanasoma shule gani, wamefanya kazi wapi! Baada ya miaka utashangaa watoto wanalalama hawaoni msaada wa wajomba na shangazi. Kumbe ni kautamaduni kalikosababishwa na wazazi wao
 
Ngozi nyeusi Tatizo uchawi , majungu , wivu ndioomaana ndg tunaogopana
 
Nimeishi upanga utotoni wangu wote, naijua nje ndani , ila juzi hapa nilipita kumebadilika sana, wabongo wote niliokuwa nawajua wamehama au wamenunuliwa na wahindi wanashusha magorofa kila kona
Upanga mpaka Posta ni kama Mumbai , wahindi wame take over
 
Back
Top Bottom