Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
- Thread starter
- #21
Wanapigana ndele wakiona mtoto wa fulani anafanikiwa watataka kumzima , au ndoa fulani ina furaha watataka kuharibuFamilia za Kiafrika zenyewe tu hazipatani.
Wanapigana ndele wakiona mtoto wa fulani anafanikiwa watataka kumzima , au ndoa fulani ina furaha watataka kuharibuFamilia za Kiafrika zenyewe tu hazipatani.
Kuna ndugu fulani niliona wanafichana hadi watoto. Niliwambia msipokuwa makini mtakuja kushangaa mtoto anakuja kumtambulisha ndugu yake na ameshamzalisha. Wale kificho chao ilikuwa noma. Na wao walikuwa distant sana.Ngozi nyeusi Tatizo uchawi , majungu , wivu ndioomaana ndg tunaogopana
Aisee kuna situation braza unalazimika kufanya hivo ili kuwa protect watoto wako maana uchawi ni mwingi sana ... kuna ndg wakijua tu progress zako watataka kuharibuKuna ndugu fulani niliona wanafichana hadi watoto. Niliwambia msipokuwa makini mtakuja kushangaa mtoto anakuja kumtambulisha ndugu yake na ameshamzalisha. Wale kificho chao ilikuwa noma. Na wao walekuwa distant sana.
Ikitokea ishu nyumbani wanarudi bila watoto
Na kweli hilo ndo la msingi zaidiAisee kuna situation braza unalazimika kufanya hivo ili kuwa protect watoto wako maana uchawi ni mwingi sana ... kuna ndg wakijua tu progress zako watataka kuharibu
Nakuombea tu uwe umezungukwa na watu wazuri , kama ni wenye wivu na ni wanga . Epuka hiyo life styleMy dream kuishi hivo
Wachawi hawanisumbui, kama Suleiman tu, nawasindikiza na kwenye viringe vyao na hakuna kitu watanifanyaNakuombea tu uwe umezungukwa na watu wazuri , kama ni wenye wivu na ni wanga . Epuka hiyo life style
Kumbe na ww fundi . Basi hapo sawa ngoma droooWachawi hawanisumbui, kama Suleiman tu, nawasindikiza na kwenye viringe vyao na hakuna kitu watanifanya
Super smooth cool like ModekaiKumbe na ww fundi . Basi hapo sawa ngoma drooo