Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Hujawahi kuishi na Wahindi ndo maana unawatamani, wale ni watumwa hawana amani ndani ya familia hawana personal/individual independenceNapenda sana tamaduni ya wahindi ya kukusanyika pamoja kila jioni kama familia ndg na jamaa inasaidia sana kutengeneza bond na kupanga mipango ya pamoja , kama umeishi upanga utagundua kuna migahawa haifunguliwi mchana ni jioni tu halafu unakuta kuna reserve table kwaajili ya familia fulani tu hii kitu ni nzuri sana waswahili inatupasa tuige
Ikishindikna kwa siku hata kwa wiki mara moja inatoshaHuo mda sasa...
Wale ni utamaduni wao unaona unaendelea kuishi nyumbani ndio maana unakuta familia kubwa watoto mpaka wajukuu wako pamoja, sasa sisi wa ukikua kajitafutie utakusanyika saa ngapiNapenda sana tamaduni ya wahindi ya kukusanyika pamoja kila jioni kama familia ndugu na jamaa inasaidia sana kutengeneza bond na kupanga mipango ya pamoja , kama umeishi upanga utagundua kuna migahawa haifunguliwi mchana ni jioni tu halafu unakuta kuna reserve table kwaajili ya familia fulani tu hii kitu ni nzuri sana waswahili inatupasa tuige
Kwa mjini ni ngumu, hii mara nyingi naionaga kijijini tu!Ikishindikna kwa siku hata kwa wiki mara moja inatosha
Brz ukikaa upanga ni kama upo new Delhi, hawa jamaa wana umoja sana kila jioni utaona wanakusanyika kwa pamoja kama familia na ndg zao wa karibu . Wengi niliowaona mimi wapo hivyoHujawahi kuishi na Wahindi ndo maana unawatamani, wale ni watumwa hawana amani ndani ya familia hawana personal/individual independence
Yeah ni kweli wahindi hata mtoto akioa watata aendelee kuishi hapo hapo watampa tu floor ya juu ya ghorofa hawapendi kuachana , ila Bongo tunatawanyikaWale ni utamaduni wao unaona unaendelea kuishi nyumbani ndio maana unakuta familia kubwa watoto mpaka wajukuu wako pamoja, sasa sisi wa ukikua kajitafutie utakusanyika saa ngapi
Wakitoka hapo bili yao si chini ya laki 3 kwa masaa kadhaa, wakati wabangubangu huo ni mtaji wa kuuza mifuko na vochaNapenda sana tamaduni ya wahindi ya kukusanyika pamoja kila jioni kama familia ndugu na jamaa inasaidia sana kutengeneza bond na kupanga mipango ya pamoja , kama umeishi upanga utagundua kuna migahawa haifunguliwi mchana ni jioni tu halafu unakuta kuna reserve table kwaajili ya familia fulani tu hii kitu ni nzuri sana waswahili inatupasa tuige
Mimi tu nawaogopa ndg zangu siwezi kuwasogeza karibu , hhhhhWaswahili kila ndugu anamuona mwenzie mchawi.
Ni kasheshe.
Kiuchumi pia wanajiweza , halafu wanaendesha. Biashara zao ki familiaWakitoka hapo bili yao si chini ya laki 3 kwa masaa kadhaa, wakati wabangubangu huo ni mtaji wa kuuza mifuko na vocha
Kiukweli hili ni jambo muhimu kwa familia, kutenga muda wa kukutana pamoja hata kama ni kwa dakika tano. Kujua kila mtu anaendeleaje.Napenda sana tamaduni ya wahindi ya kukusanyika pamoja kila jioni kama familia ndugu na jamaa inasaidia sana kutengeneza bond na kupanga mipango ya pamoja , kama umeishi upanga utagundua kuna migahawa haifunguliwi mchana ni jioni tu halafu unakuta kuna reserve table kwaajili ya familia fulani tu hii kitu ni nzuri sana waswahili inatupasa tuige
Nimeishi upanga utotoni wangu wote, naijua nje ndani , ila juzi hapa nilipita kumebadilika sana, wabongo wote niliokuwa nawajua wamehama au wamenunuliwa na wahindi wanashusha magorofa kila konaKiuchumi pia wanajiweza , halafu wanaendesha. Biashara zao ki familia
Ngozi nyeusi Tatizo uchawi , majungu , wivu ndioomaana ndg tunaogopanaKiukweli hili ni jambo muhimu kwa familia, kutenga muda wa kukutana pamoja hata kama ni kwa dakika tano. Kujua kila mtu anaendeleaje.
Kipindi cha nyuma walifanya hivyo. Sahivi mambo yameenda kasi. Ndugu wa tumbo moja ila hawatembeleani, wanafichana taarifa za familia zao. Unashangaa tu hataki eti ndugu zake wajue watoto wake wanasoma shule gani, wamefanya kazi wapi! Baada ya miaka utashangaa watoto wanalalama hawaoni msaada wa wajomba na shangazi. Kumbe ni kautamaduni kalikosababishwa na wazazi wao
😀 sio wewe tu mkuu usijali.Mimi tu nawaogopa ndg zangu siwezi kuwasogeza karibu , hhhhh
Upanga mpaka Posta ni kama Mumbai , wahindi wame take overNimeishi upanga utotoni wangu wote, naijua nje ndani , ila juzi hapa nilipita kumebadilika sana, wabongo wote niliokuwa nawajua wamehama au wamenunuliwa na wahindi wanashusha magorofa kila kona
Noma sana kumbe tupo wengi ama kweli hili ni janga la ki Taifa😀 sio wewe tu mkuu usijali.
Hilo ni kwa_waswahili wengi sana kama sio wote.