I love Indian culture wanapenda sana family Gathering kila jioni

Ngozi nyeusi Tatizo uchawi , majungu , wivu ndioomaana ndg tunaogopana
Kuna ndugu fulani niliona wanafichana hadi watoto. Niliwambia msipokuwa makini mtakuja kushangaa mtoto anakuja kumtambulisha ndugu yake na ameshamzalisha. Wale kificho chao ilikuwa noma. Na wao walikuwa distant sana.

Kurudi kwao nyumbani mpaka itokee jambo, wala hawaarudi na watoto
 
Aisee kuna situation braza unalazimika kufanya hivo ili kuwa protect watoto wako maana uchawi ni mwingi sana ... kuna ndg wakijua tu progress zako watataka kuharibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…