I love Joanah (my dream woman)


Hivi ule ushauri #8 wa ROBERTO 20 uliukataa ee?

Thanks for the love RAYAN THE DON ....hata kama ni kiutani nafarijika sana kama yupo anayenipenda huku,kuambiwa neno love ni faraja sana

Asante sana​

Next time ikitokea ukapenda na uko serious mie naona the right way ni kuwasiliana na muhusika privately,sio kila mtu anapenda vitu vianzie public
 
Unakuwa mkali mpaka nitakosa Shemeji mdogo wangu mzuri mzuri jamani

Hahahah wala siko na ukali wowote...ni vile maandishi yanavyoonekana buuut nyuzi nazoanzishiwa huwa najibu katika hali ya kucheka sana huku

Huyu shemeji yako kwa Shunie πŸ˜‚
 
Hahahah wala siko na ukali wowote...ni vile maandishi yanavyoonekana buuut nyuzi nazoanzishiwa huwa najibu katika hali ya kucheka sana huku

Huyu shemeji yako kwa Shunie [emoji23]
Hahahaha
Shunie hatamuwezaa kabisaa jamani!! Kimombo kingi sanaa
 
Mdogo wangu ulivyojibu humble hivi ndo maana unaanzishiwa uzi [emoji2][emoji2] yaan na Mimi nilivyomaliza kusoma hii comment nimehisi vigenye kwa mbaaaaali[emoji2][emoji2][emoji2]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaa
 

With regards to post #8, my response is, I didn't subscribe to his advice as he has no mandate to advise me concerning the mode of correspondences, type of languages, etc.

Noted with respect. And I'm genuinely grateful for your response, Joanah.

I love you.
 
Mdogo wangu ulivyojibu humble hivi ndo maana unaanzishiwa uzi [emoji2][emoji2] yaan na Mimi nilivyomaliza kusoma hii comment nimehisi vigenye kwa mbaaaaali[emoji2][emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
Joanah is so humble, very sharp, intelligent.etc. Hivyo ni kati ya mambo yaliyo intrigued me kumwambia navyomkubali sana.
 
πŸ™‡πŸ™‡πŸ™
 
Nasemajeee wanazengo, huyu mtu ni mhaya, mnisamehe bure but this guy is a Haya.

Halafu mtoa uziiiii sio thread nikwambie tu hutokuja kumpata mwanamke kwa masifa hayo ya publicity stunts, mapenzi ya kutangaza huwa mengi yao ni fake.

Ungemfata nakumpa hizi sifa private huwezi jua ungekwishatunukiwa ila hiviii sijui.

Don't hunt what you can't kill.
 
Mzee baba, ukisemeshwa kiswahili jibu kiswahili acha mikwara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…