I love Joanah (my dream woman)

I love Joanah (my dream woman)

Nasemajeee wanazengo, huyu mtu ni mhaya, mnisamehe bure but this guy is a Haya.

Halafu mtoa uziiiii sio thread nikwambie tu hutokuja kumpata mwanamke kwa masifa hayo ya publicity stunts, mapenzi ya kutangaza huwa mengi yao ni fake.

Ungemfata nakumpa hizi sifa private huwezi jua ungekwishatunukiwa ila hiviii sijui.

Don't hunt what you can't kill.

Hahahahahahahahah
 
Jifunze mkuu. Siku ukijua kutema yai utakuwa unafurahi sana. Hata huduma utapata kwa uharaka sana.
Wabongo ukitka akusumbue muongeleshe kiswahili ila ukimpeleka kwenye lugha ya malkia hoi. utasikia okay boss, yes, yes. hana hata time ya kuuliza swali wala nini.
Sawa boss ngoja nifanye mpango wa kuonana na ras simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipe tips za kuwa confident hii inanisumbua mno

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta watu wanaongea hiyo lugha kwa 75%. . Fanya mazoezi ya kutosha ya kuongea ngeli na watu wanaojua ngeli.
Ndani ya mwezi mmoja utakuwa nouma sana. Usiogope kukosea hata kidogo. ukikosea leo wakakuweka sawa. kesho hautakosea tena.
 
I'm very fluent in english sema nna aibu so naweza nikawa naongea nikiwa spo free .

Huu urefu wa 5'8'' ni bila viatu na wigi?

Kuna jamaa wangu bila viatu anao urefu wa 207cm. Lazima akikuona atasema wewe ni mfupi.

Hapo kaweka na wigi, akitoa wigi na biyu anarudi kwenye 4’8”

Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
I'm very fluent in english sema nna aibu so naweza nikawa naongea nikiwa spo free .

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka unakuta kajasho kanakutoka kimtindo. kumbuka confidence hutengenezwa, so nakushauri uwe unakuwa mstari wa mbele katika kuongea na makundi makubwa ya watu hivyo hivyo kwa aibu mwisho wa siku utazoea na utaona kawaida. mwisho wa siku utakuwa noum sana.

Nakumbuka kipindi niko shule ya secondary marafiki zangu walikuwa wanaona wazungu wanawakimbia kuwa watawaongelesha ngeli. ila mimi nikawa napambana hivyo hivyo mpaka natumia mikono kuelezea but mwisho wa siku nikawa vizuri.
 
Sna mtu wa kuongea nae tuseme mazingira ninayoishi si rahisi hapo tu una code mix mtu anakuona unaringa .

Back
Top Bottom