Kuna wanaume taabu kweli, Unashindwa kuwa unique, Najua unafahamu kuwa nyuzi kama hizi juu Yake ni nyingi, Umeshindwa nini kumfata Piemu, Mchombeze , Uanze hata na kaurafiki, Uwe unalike posts zake Speed Ya Mkwepu Jr maana mshkaji kapita hadi speed Ya light,
Then Umwambie unavofeel,
Unadhani kuandika hapa ndo atakuonea huruma, Arrrgh Umenifelisha sana Bro
Feelings Hazijengwi Siku moja bwanaaa Acha kuwa kama Chalii anaeishi kwa fantasy Da vinci [emoji23][emoji23][emoji23]🤣
Ushauri kutoka kwa mvulana kwenda kwa mwanaume