Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Taratibu mdogo wangu mzuri mzuriKama hujawahi kuniPM kwanini uanzishe uzi kama huu?
Kwanini usingeniPM moja kwa moja kuandika uliyoandika hapa??!kuna haja gani ya uzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taratibu mdogo wangu mzuri mzuriKama hujawahi kuniPM kwanini uanzishe uzi kama huu?
Kwanini usingeniPM moja kwa moja kuandika uliyoandika hapa??!kuna haja gani ya uzi?
Acha mikwara chalii jamaniKuna ID za kike Humu JF nmeshajirdhisha nazo ni za wanaume 100%
Sizifatiliii ila najikuta tu nazishtukia kutokana na makosa yanayoendelea
Sauti inatosha kabisaa jamaniKuna wanaume taabu kweli, Unashindwa kuwa unique, Najua unafahamu kuwa nyuzi kama hizi juu Yake ni nyingi, Umeshindwa nini kumfata Piemu, Mchombeze , Uanze hata na kaurafiki, Uwe unalike posts zake Speed Ya Mkwepu Jr maana mshkaji kapita hadi speed Ya light,
Then Umwambie unavofeel,
Unadhani kuandika hapa ndo atakuonea huruma, Arrrgh Umenifelisha sana Bro
Feelings Hazijengwi Siku moja bwanaaa Acha kuwa kama Chalii anaeishi kwa fantasy Da vinci [emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
Ushauri kutoka kwa mvulana kwenda kwa mwanaume
una bahati hauna sehemu ya start conversation mdada wa nguleloo weweAcha mikwara chalii jamani
Warefu hawakomai
Bag langu jamanii dadaShunie mlimalizanaje na huyu jombaaNampenda sana Shunnie
Habari wana MMU? "Wahenga walisema mficha maradhi kifo humuumbua" Kiukweli inanibidi niwe tu mkweli ili niweze kuifanya nafsi na moyo Wangu kuwa huru. Ni kwamba nimetokea kumpenda sana mdada anayetumia ID ya Shunnie.Ninaposema nampenda namaanisha kuwa nampenda sana. Shunnie, wewe ndiyo...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mlevi tuwaacheeNdo maana kwenye ule Uzi wenu niliwaambia nyie ni wagonjwa [emoji3]
Ndo hasara za kuwa introvert
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeeHuwa anajifyatua mno, sasa wavulana huwa wanawashwa wakimsoma[emoji23]
Wengine tumeyazoea hayo hata akitembea uchi tunaona kawaida tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]una bahati hauna sehemu ya start conversation mdada wa nguleloo wewe
we ruka ruka tu na hicho kisketi💃💃[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulitaka ukuje nitolea povu eeehh,, chalii wewe!
Na wewe Sakayo muda si mrefu nakushushia uzi wa haja hapa mama angu vuta subira tuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulitaka ukuje nitolea povu eeehh,, chalii wewe!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]we ruka ruka tu na hicho kisketi[emoji126][emoji126]
ntakuotea tu nakwambia maana mbauda wamekushindwa
ila mimi sijakushindwa nasema mama yeyoo wewe
Wewe njoo pm tuyajenge jamani!! Mambo ya kutongozwa mbele ya baba zangu na mama zangu nitaona aibu jamaniNa wewe Sakayo muda si mrefu nakushushia uzi wa haja hapa mama angu vuta subira tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuelewa mama angu nitakuja huko kwa waziri mkuu tuu japo najua kuna watu watapata wivu wa kutosha tuu hapaWewe njoo pm tuyajenge jamani!! Mambo ya kutongozwa mbele ya baba zangu na mama zangu nitaona aibu jamani
Tatizo hutoi mrejesho unagonga na kusepa issue yaNo matter what. Nampenda sana Joanah. Kama tunaweza mpenda Mungu ambaye hatumuoni why nashindwe kumpenda JOANAH ambaye ipo siku tutakutana na ataelewa ninachokizungumza?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimekuelewa mama angu nitakuja huko kwa waziri mkuu tuu japo najua kuna watu watapata wivu wa kutosha tuu hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu mzigo wako niko nao, sijui niutume kwa bus akii..mekaribia kuuvaa
Uzi mzuri.... anyways sitaki kujaza server za JF ila mnaokuja PM mnaonaje mkitanguliza picha zenu? Maana naogopa ku deal na watu wafupi waliokomaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks for your question.Kama hujawahi kuniPM kwanini uanzishe uzi kama huu?
Kwanini usingeniPM moja kwa moja kuandika uliyoandika hapa??!kuna haja gani ya uzi?