I love Joanah (my dream woman)

Hahahahahahahahah
 
Sawa boss ngoja nifanye mpango wa kuonana na ras simba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipe tips za kuwa confident hii inanisumbua mno

Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta watu wanaongea hiyo lugha kwa 75%. . Fanya mazoezi ya kutosha ya kuongea ngeli na watu wanaojua ngeli.
Ndani ya mwezi mmoja utakuwa nouma sana. Usiogope kukosea hata kidogo. ukikosea leo wakakuweka sawa. kesho hautakosea tena.
 
I'm very fluent in english sema nna aibu so naweza nikawa naongea nikiwa spo free .

Unamjua?hamkawii kukimbia nyinyi watu wa kubahatisha...
 
Huu urefu wa 5'8'' ni bila viatu na wigi?

Kuna jamaa wangu bila viatu anao urefu wa 207cm. Lazima akikuona atasema wewe ni mfupi.

Hapo kaweka na wigi, akitoa wigi na biyu anarudi kwenye 4’8”

Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
I'm very fluent in english sema nna aibu so naweza nikawa naongea nikiwa spo free .

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka unakuta kajasho kanakutoka kimtindo. kumbuka confidence hutengenezwa, so nakushauri uwe unakuwa mstari wa mbele katika kuongea na makundi makubwa ya watu hivyo hivyo kwa aibu mwisho wa siku utazoea na utaona kawaida. mwisho wa siku utakuwa noum sana.

Nakumbuka kipindi niko shule ya secondary marafiki zangu walikuwa wanaona wazungu wanawakimbia kuwa watawaongelesha ngeli. ila mimi nikawa napambana hivyo hivyo mpaka natumia mikono kuelezea but mwisho wa siku nikawa vizuri.
 
Sna mtu wa kuongea nae tuseme mazingira ninayoishi si rahisi hapo tu una code mix mtu anakuona unaringa .
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…