Kabla hujaona nadhani ulipewa mafunzo, na moja wapo ni kuwa na kiasi katika kila kitu. Kama unazoeleka kirahisi, na unajenga urafiki kirahisi basi kuwa na kiasi. Sidhani kama mume wa mtu ni vema kuwa na urafiki wa karibu sana na wadada. As I said kuwa na kiasi ktk kila kitu ili usimkwaze mwenzio na kumtia hofu. Wewe mweneyewe unajua jinsi binaadam tulivyokuwa vigeugeu, wiki moja mtazoeana na mdada wiki inayofuata anaanza kuku text sms za mapenzi, mkeo atakuelewa kweli?
Au jiweke kwenye nafasi ya mkeo, kama mkeo naye akiwa na friends wa jinsia tofauti na yake, tena akijenga mahusiano ya karibu utafurahi?usichopenda kufanyiwa nawe usimfanyie mwenzio. Pia KUWA NA KIASI