I love my wife but...

I love my wife but...

nikuulize shem? kama mwanaume baba wa familia upo sebuleni na watoto na ndugu labda upo bize unachati chati hv unadhani iyo familia inakuchukuliaje? kila saa ngriiiii sms unaaza kutembeza vidole tena simu ngrrrrrrrrrrrr loh aibu bana

Smile....suburi uingie kwenye mahusiano rasmi, then tuone kama utakuwa unaongea hivi...(hivi nikiwa bize na simu nyumbani nashughulikia mambo ya muhimu kwa ajili ya welfare ya family kuna ubaya? ohoooo)
 
aah!! Kumbe nyie ni wabichi kabisa.... No wonger... "young love" lol.... So wonderful... hii ni wakati wake mkeo ataacha mwenyewe mda sio mrefu... Nitakupa number ya simu mniarifu chakula gani mwapenda... walau mfurahie siku hio.

AshaDii,

That would be nice, i cant wait...

sema i will need to explain how i came to know this Aisha Dii girl n family so itakuwa challenge tena kuja kula mpunga hahaha
 
Asante dear kwa salaam, zimefika dear!

Basi naona sweetie wako ametingwa tu siku hizi, ndo maana hatuonani! ASANTE kwa kuniamini! Nami nakuhakikishia, ukinichia will behave well..🙂

Have a blessed day dear!



Ni kweli alikua busy saana...... Lakini karibu utaanza kumuona mara kwa mara.... Hapo juu I know....lol


Happuch have a blessed day too.... It has been nice seeing you hear....
 
Sasa mtu kama wewe ndo huwa mnatutoa maana mbele ya wanawake na sometimes tunaambiwa hatujui tulitakalo......kwa kuanzia weka humu namba ya shemji yetu tuanze kum-call friendly all hours then utajua nini anaongelea huyo dada wa watu.......tena shamelessly unataka ushauri nini cha kufanya !!!!!!!!

Umshukuru huyo ni mstaarabu sana as wengine angekupa Newtonian third law.........inaishia na equal and opposite reaction

B a man....hao the so called friends wapo tu ila wajue muda wa kuwasiliana na wewe au mzee hujawaambia umeoa???
 
Ahsante,

Dah aisee tutakuja ,lakini beer hapana lanakum sheitwan :lol:

Watoto bado ndio tupo kwenye mchaka mchaka wa kutafuta

No wonder ana muda kusikiliza kila simu, na kukagua marafiki zako wote wa kike....changamka
 
AshaDii,

That would be nice, i cant wait...

sema i will need to explain how i came to know this Aisha Dii girl n family so itakuwa challenge tena kuja kula mpunga hahaha




aaahaaa!!!! Sasa I see where your problem lies... Itabidi uje uchukue course kwa Sweetie on how to talk to ladies let alone your wife.

Haitakiwi umwambie mkeo "Nimekaribishwa na AshaDii na mumewe chakula cha mchana juma pili... NO!!"

INTAKIKWA

"Nimekaribishwa na Kaizer na mkewe chakula cha mchana juma pili... SAWA?" Notice the difference? Kingine mimi ni mtu mzima nyie bado wachanga... akiniona hata akili yake haiwezi mpeleka huko... I understand how our (women's) minds work....lol
 
smile,

nimeamini kila shetani na mbuyu wake yani watu wamekula pozi huku, dah wengine huwaoni sehemu yeyote siasa wala michezo teh teh teh
ulikuwa unijui? Watu hadi tumekuwa ma premium hapa hapa .
 
lol malaria inatibika na haiukubaliki. Ingekuwa ugonjwa mwingine sawa....:a s-coffee:
ahahaaa kumbe ndo zenu eeh kama ni hivo ngoja nianze kuchatchat na wewe shem .unaweza kunifaa siku ya jua kali hapa mjini
 
A WOMAN NEEDS a husband who’ll protect his wife and make her feel secure.
This means more than protecting her from physical harm. It also means
protecting her from emotional harm.
 
No wonder ana muda kusikiliza kila simu, na kukagua marafiki zako wote wa kike....changamka

nilifikiri nikikawiza hii mambo ndio itakuwa poa tutaweka ukaribu zaidi lakini naona i was wrong bora nichangamke tu :tongue:
 
Huwa inaudhi mbaya sana
Na uko kati kati ya mazungumzo muhimu au mkeo anakuambia jambo la muhimu
Unajua tena hata radhi humuombi unaendelea na kupokea simu au kutuma sms as if hayuko pale

I have been following your posts for quite sometime. I think you understand women big time. Wanaume wachahe sana duniani wana uelewa kama wa kwako. Na kama you practice what you preach basi your wife is very lucky. May God Bless you
 
Back
Top Bottom