am his wife ,im very lucky for surei have been following your posts for quite sometime. I think you understand women big time. Wanaume wachahe sana duniani wana uelewa kama wa kwako. Na kama you practice what you preach basi your wife is very lucky. May god bless you
ahahaaa kumbe ndo zenu eeh kama ni hivo ngoja nianze kuchatchat na wewe shem .unaweza kunifaa siku ya jua kali hapa mjini
ahahaa mjini hapa sis:a s angry::a s-confused1::smash::rant:
kanikataa jamani? Kasema mkewe ameinvest kwenye silaha kama korea kaskazini
sasa mimi 3000 hebu cheki za mke wa mtu hapo asha dii ngapi?
PM NINAZO 4999
aisee kweli wewe mgeni private mesage huna hata moja?pm ni nini ???
Jamani habari,
Mie ni kijana mwenzenu nipo kwenye ndoa mwaka wa 2 sasa , lakini sometimes nashindwa kumuelewa wifi yenu/shemeji yenu sijui tatizo ni nini.
Mimi nina bahati mbaya moja kwenye maisha yangu kwamba watu hutokea kuwa karibu na mimi iwe darasani, kazini etc popote ambapo nakaa muda mrefu na watu basi huwa najenga ukaribu japokuwa mimi mwenyewe sijichukulii kama "down to earth" sana na pombe sinywi. (Ila honestly huwa nakuwa close na ladies mara nyingi as friends)
Problem ni wife hataki kabisa niwe na mahusiano ya karibu na jinsia ya kike yani awe colleague wa kazini au ofisi yangu ya zamani au evening class au whatever. Napata wakati mgumu coz hata wakipiga simu inabidi nianze ku explain "who is this " , "why she is calling" ,etc na kama ni new friend na ni binti basi kasheshe kabisa.
Wenzangu mna handle vipi hizi situation coz as the days go by she is becoming more and more possessive na inaweza kunifanya nitengwe na jamii inayonizunguka and she thinks she is doing the right thing.
aisee kweli wewe mgeni private mesage huna hata moja?
Kabla hujaona nadhani ulipewa mafunzo, na moja wapo ni kuwa na kiasi katika kila kitu. Kama unazoeleka kirahisi, na unajenga urafiki kirahisi basi kuwa na kiasi. Sidhani kama mume wa mtu ni vema kuwa na urafiki wa karibu sana na wadada. As I said kuwa na kiasi ktk kila kitu ili usimkwaze mwenzio na kumtia hofu. Wewe mweneyewe unajua jinsi binaadam tulivyokuwa vigeugeu, wiki moja mtazoeana na mdada wiki inayofuata anaanza kuku text sms za mapenzi, mkeo atakuelewa kweli?
Au jiweke kwenye nafasi ya mkeo, kama mkeo naye akiwa na friends wa jinsia tofauti na yake, tena akijenga mahusiano ya karibu utafurahi?usichopenda kufanyiwa nawe usimfanyie mwenzio. Pia KUWA NA KIASI
huwezi jua za mtu,hadi akuambie kama nilivokuambia.ngoja ni kupm ,andaa matarumbeta kabisa ya kuipokeaprivate message? Duh mbona mimi huwa hamnitumii hehehe
swali
je unajuaje nani ana private message ngapi?
Ha ha ha umenichekesha sana mkuu,hawa watu ni wazuri sana ila ukiwahandle vibaya ni BALAAAA,KWA KIASI KIKUBWA SIE WANAUME NDIO HUWA TUNAWAHARIBU. Huyo shem wetu siku akiacha kulalamika tu....ujue tayari wajanja wameshaanza kumCHAKACHUA. INABIDIDI JAMAA ABADILIKE KABISA.
Sweet dada,
Utaingia tu utake usitake :lol:
iyo avatar yako loh?nikiingia nikutane na staili hii si nitaishia rumande mimi sweetdada looh.
iyo avatar yako loh?