I love my wife but...

inategemea kipindi cha uchumba ulihandle vipi hizo calls na marafiki zako hasa wa kike, kama kuna mabadiliko lazima ang'ake. so chagua mawili - either to keep on your friends au kusahau na ku-concetrate na ndoa yako. mimi nina simu private naiita jina "kimeo" yenyewe muda wote ipo kwenye gari langu pake kwa dashboard, ina number zote za vimeo vyangu na old school friends wa kike wamo kibao. hakuna kiumbe anaijua: usifuate ushauri wangu.
 

U r my role model :lol::lol:
 
PM

Jamani hii private msg inafanyaje kazi coz nikitaka kutuma inaweka jina langu mwenyewe :lol:
 
Hahaha brother Rocky its all in the name of love :lol::lol::lol:

Inawezekana wakati najisajili sikuomba hiyo huduma labda ndio inakuwa problemo au kuna namba ya posts zikifika ndio inakuwa active?
 
Hahaha brother Rocky its all in the name of love :lol::lol::lol:

Inawezekana wakati najisajili sikuomba hiyo huduma labda ndio inakuwa problemo au kuna namba ya posts zikifika ndio inakuwa active?

In the name of love? Just do it to your wife and kid if you have one
Huduma ya PM haiomb wi wala sio mpaka ufikishe post kadhaa
Ila mkuu naona mambo yako moto sana
Huku inawezekana nako kuna mmoja unataka umuendee hewani kupitia PM
Hongera sana ila hizo speed ungezielekeza kwa wife ungekuwa mume bora sana
 

Kaka umesahau kuwa wanawake bynature wanawivu sana na wewe umesema unapenda kuwa karibu sana na ladies na yeye akianza kuwa karibu na gentlemen we utachukuliaje?Mi nadhani ukishaoa kuna baadhi ya vitu unapaswa kuachana navyo automatic kama vile kampani ulizokuwa nazo zamani je nikampani za aina gani,Je hao wasichana ulionaokaribu wao wanuchukuliaje huo ukaribu wenu,Sababu we unaweza kuwa na nia njema kumbe hao wasichana unaozoeana nao kuna mmoja kakuzimia na atatumia hiyo loop ya wewe kuwa nae karibu kukushawishi mwishoye utajkuta safari moja imeanzisha ingine so watchout,Na SHEMEJI YANGU YUKO CORRECT KABISA YAANI HUU NI WAKATI WA "ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO TENA MAPEMA"
 

Hahaha

Hii huduma ipo watu wengine wanaitumia kwanini atleast nisi test nione kama inafanya kazi:lol:

Problem ya hii huduma u have to handle with care unaweza kujifanya pimp ukam pm wife ukaishia kulala sebuleni

Mimi ninataka kuwasiliana na mkuu wa kaya hapa through this huduma
 

Mkuu wajanja washagundua muda mrefu kuwa wewe unataka kuitumia ndivyo sivyo
Hicho unachotaka kumwambia mwambie tuu hapa hapa wazi kitawafaidisha wengine
Ila huko unakoelekea ni kwenye kutafuta huduma nyingine ambazo ziko nje ya kiwango
Huduma yako imesitishwa kwa muda
 
Its funny coz invisible mwenyewe no robot kaazi kweli kweli ukute hamna mtu kama hiyo
 
Mkuu we msubirie Invisible au PAW umuombe akurekebishie tatizo lako
 
Basi hii system itakuwa smart sana coz i think ina sensors

teh teh teh anyways

Nime notice hapa kuna tangazo ya tigo na zain at the same time i think its not rite
 
Basi hii system itakuwa smart sana coz i think ina sensors

teh teh teh anyways

Nime notice hapa kuna tangazo ya tigo na zain at the same time i think its not rite

yeah ila hayajawekwa pamoja
na ndo maana hata vipindi mwanzo kinaweza kuwa sponsored na kampuni moja ya simu na mwishoni ikawepo nyingine
 
kwanini asiwape zamu zamu labda mwezi mwezi au wiki wiki coz haipendezi hata kwa macho
 
Aise tumeugeuza huu uzi kuwa chating
Haya mambo yangefaa yasiwepo kweney huu uzi
rudi kwenye mada aise lol
 
Bado yupo kwenye mada swala tunalozungumzia hapa ni PM si unajua nataka wakiifungua na nizungumze na watu kadhaa ikiwemo invisible nadhani tunaweza kuwa na mahusiano yenye manufaa kwenye hii mambo ya tangazo
 
Sidhani kama utapata jibu hapo hapo ukimtumia Invisible PM
Wewe tuma na tegemea may be kesho ama keshokutwa au wiki ijayo kupata jibu
Ila sidhani kama inaenda hivyo bana
Hebu nitumie mimi niangalie kama inakuja na jina lako halisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…