Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Mdogo angu nakushauri tafuta kwanza pesa, usituige sisi wenzio tunatumia. Iga kazi usiige matumiziBasi naku tambulisha kwa shemeji yako Nuzulati ππ
Hahaha, keep observing mkubwa.Hahahahaha, hata mm naona yuko vzr ..kila la kheri. Mie humu sina sifa zao
Hahahaha. Mie nilipenda sehemu ila hakunipenda inatosha hkn mwingine tena wakunishawishi..ukizingatia janja janja ya humuHahaha, keep observing mkubwa.
πIna bidi use na akili Kama ya Pham xuan yuan
Hela kuanzia shingapi??, Afu tuna anzia chini - SI tuna build Kitu muhimuMdogo angu nakushauri tafuta kwanza pesa, usituige sisi wenzio tunatumia. Iga kazi usiige matumizi
Though humu hatu juani, ila naamini Kuna sehemu lazima uta gusika tu.Hivyo ulivyotaja ni vya muhimu sana sana
Hahahahaha sidhaniThough humu hatu juani, ila naamini Kuna sehemu lazima uta gusika tu.
Hahaha, au ali angalia wadhifa - akaona bado huja fika level anayo taka??Hahahaha. Mie nilipenda sehemu ila hakunipenda inatosha hkn mwingine tena wakunishawishi..ukizingatia janja janja ya humu
Hahahahaha...inawezekana kabisa sio level zakeHahaha, au ali angalia wadhifa - akaona bado huja fika level anayo taka??
Maana Kuna baadhi Wana jihisi Wana toka ukoo mmoja na ElizabethππHahahahaha...inawezekana kabisa sio level zake
Hahahahaha kumbe andazi tuMaana Kuna baadhi Wana jihisi Wana toka ukoo mmoja na Elizabethππ
Hahaha, sema hivi vitu ni ajabu Sana.Hahahahaha kumbe andazi tu
BOra empty set, unaeza fill data.Simfahamu@Dk Lizzy wala sikufahamu wewe mtoa mada..ila mbona naona hamuendani? au unaomba kazi ya uhouseboy? maana art yako inasadifu ni empty set(natania?
ππππππ.....basi hatufai kuwa shemeji yetu ...BOra empty set, unaeza fill data.
πHuyo Yuko factory reset mode
Mpeni nafasi, love start at the root leveoπππππππ.....basi hatufai kuwa shemeji yetu ...
Mfadhaiko wa akili ni tatizo kubwa sana mdogo wangu.BOra empty set, unaeza fill data.
πHuyo Yuko factory reset mode
Wanasema kuchapiwa ni Siri ya ndani eti πAli lala na Bibi harusi, kabla ya harusi.
πHalafu mzee bado mna nishauri harusiππ Grahams
yani haiwezi kua mimi hahaha.... ni mimi banaaHaiwezekani!!!π₯΄
Hata ukinipa mpaka password na ikakubali, bado ntakataa katu katu.yani haiwezi kua mimi hahaha.... ni mimi banaa