I love so much Lizy

I love so much Lizy

Ali lala na Bibi harusi, kabla ya harusi.
👉Halafu mzee bado mna nishauri harusi😀😂 Grahams
Wanasema kuchapiwa ni Siri ya ndani eti 😜

Sisi miaka yetu ya 69's ilikuwa kawaida Mkeo kupata mtoto na akafanana na Uncle wa Jirani, muhimu ikitokea Mkeo akamchukia huyo uncle akiwa Mjamzito 😅

Mkisikia Uzee dawa mjue tumevumilia vingi 🤗😜
 
Kuna MTU humu moyo wangu ulimuangukia nikamufungukia mambo yakaelekea poa, Ajabu kaanza ujanjaujanja nikachange I'd nikalala mbelee staki tena watu wa humu labda aje mwenyewe
 
Back
Top Bottom