I love so much Lizy

Milion 10...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na bado nitatakiwa kukaa kwa kutulia wahuni wakiwa wanamla huko nje na 10m ishaenda?? Neh Neh Bab jii!!!
 
Milion 10...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ na bado nitatakiwa kukaa kwa kutulia wahuni wakiwa wanamla huko nje na 10m ishaenda?? Neh Neh Bab jii!!!
Kwa Mwanamke uliyempenda hutashindwa kumtolea hata milioni 50.

Mwaka 1973 wakati namwoa Bibi yenu, nililipa mahari ya shilingi 915. Yaani I had to collect 16 months salary kuweza kutimiza hiyo hela πŸ™Œ

Ingia google angalia hiyo pesa ina thamani gani Kwa leo πŸ€—
 
Mzee Kama kishija uchumba milioni 3, na mahari 10m.
Sidhani Kama nita kuja kuoaπŸ˜ƒπŸ˜‚
Usiogope kuhusu hiyo mahari

Unakumbuka nilikuwa nasoma kitabu cha "how to be good a negotiator"

Basi ukiniletea dozen za Kiko lazima nitakusaidia ku- bargain ili kushusha hicho kiasi.

Wewe unaweza kulipa milioni 3 hadi 5 πŸ€—
 
Usiogope kuhusu hiyo mahari

Unakumbuka nilikuwa nasoma kitabu cha "how to be good a negotiator"

Basi ukiniletee dozen za Kiko lazima nitakusaidia ku- bargain ili kushusha hicho kiasi.

Wewe unaweza kulipa milioni 3 hadi 5 πŸ€—
Sawa mzee, ila 3 ndo mwisho πŸ˜‚πŸ˜ƒ.
πŸ‘‰5 ni heka 3 za nyanya πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Sawa mzee, ila 3 ndo mwisho πŸ˜‚πŸ˜ƒ.
πŸ‘‰5 ni heka 3 za nyanya πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Angalia value atakayoileta huyo Mkeo mtarajiwa kwako.

Imagine watoto wenu hawatahitaji kupelekwa tuition nyakati za holiday maana Mama yao Shule imelala kichwani.

Umewahi kujiuliza atakuletea Watoto ma-brights na ma-cute/handsome kiasi gani. Na Kwa Shule ya Mama yao nao lazima watakuwa bright as watoto wanarithi zaidi ya asilimia 55 za traits kutoka Kwa Mama πŸ˜œπŸ€—
 
Mzee na iwe hivyo, ila akiwa redio ya kuji tegemea.
πŸ‘‰ Lazima uni lipe hela zangu za ugoroπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…