I love so much Lizy

I love so much Lizy

Yaani pamoja na sifa zote hizo Babu yake nilizotaja bado unataka kututania Wazee Kwa kuweka hizo elfu 30 Kwa bahasha.

Hizo elfu 30 Kwa gari tu anayotumia, akiweka mafuta gari haifiki hata Mwenge kutokea Upanga inakuwa imeshawaka taa.

Hebu Fanya uweke milioni 3, then tukikaa kikao Wazee tutakutajia mahari ambayo haitapungua milioni 10 🤗🏃🏃🏃🏃
Milion 10...😂😂😂 na bado nitatakiwa kukaa kwa kutulia wahuni wakiwa wanamla huko nje na 10m ishaenda?? Neh Neh Bab jii!!!
 
Milion 10...😂😂😂 na bado nitatakiwa kukaa kwa kutulia wahuni wakiwa wanamla huko nje na 10m ishaenda?? Neh Neh Bab jii!!!
Kwa Mwanamke uliyempenda hutashindwa kumtolea hata milioni 50.

Mwaka 1973 wakati namwoa Bibi yenu, nililipa mahari ya shilingi 915. Yaani I had to collect 16 months salary kuweza kutimiza hiyo hela 🙌

Ingia google angalia hiyo pesa ina thamani gani Kwa leo 🤗
 
Mzee Kama kishija uchumba milioni 3, na mahari 10m.
Sidhani Kama nita kuja kuoa😃😂
Usiogope kuhusu hiyo mahari

Unakumbuka nilikuwa nasoma kitabu cha "how to be good a negotiator"

Basi ukiniletea dozen za Kiko lazima nitakusaidia ku- bargain ili kushusha hicho kiasi.

Wewe unaweza kulipa milioni 3 hadi 5 🤗
 
Sawa mzee, ila 3 ndo mwisho 😂😃.
👉5 ni heka 3 za nyanya 😃😃
Angalia value atakayoileta huyo Mkeo mtarajiwa kwako.

Imagine watoto wenu hawatahitaji kupelekwa tuition nyakati za holiday maana Mama yao Shule imelala kichwani.

Umewahi kujiuliza atakuletea Watoto ma-brights na ma-cute/handsome kiasi gani. Na Kwa Shule ya Mama yao nao lazima watakuwa bright as watoto wanarithi zaidi ya asilimia 55 za traits kutoka Kwa Mama 😜🤗
 
Mzee na iwe hivyo, ila akiwa redio ya kuji tegemea.
👉 Lazima uni lipe hela zangu za ugoro😃😃
 
Back
Top Bottom