I love so much Lizy

I love so much Lizy

Vijana inaonekana mmeanza kusahau utaratibu wa Kuoa eeh?.

Kama umempenda binti yetu Dr Lizzy hakikisha unatuma Wazee wako walete barua ya Uposa.

Then sisi Wazee tutakaa kikao kukufanyia evaluation kuona kama unakidhi vigezo kumwoa binti yetu.

Jitahidi uwahi mapema kuleta hiyo Posa yako, maana tayari kuna Proposal 3 zipo Mezani kwetu Wazee ili tuendelee na Mchakato 🤗

Ukiweza niletee Kiko pair 3 ili nikusaidie kuwashawishi Wazee wenzangu wapokee Posa yako 😜

Kumbuka Binti yetu ni Daktari huyo 🤗
 
U daktar wake hata sio tatizo maana hatuna mpango wa kwenda kuishi wodini. Je ana ujuzi wa kupasua mbususu kwa ustadi kupenyeza vya kupenya??
 
Jaribu kutumia soft language, isije Wazee tukapitisha Posa Yako then Binti mwenyewe akaja akaikataa.

Infact she posses PhD ya Darasani kabisa siyo zile nyingine za kupewa 😜
 
Anhaa kumbe..sio daktar wa hospital!? Bas kama ana phd huyu kibongo bong she is over 45 now. Huyu mali inabid iwe chini maana atakaye muoa anakwenda kuwa na kibarua kizito sana cha kutetea nafasi yake kama mwanaume ndani ya nyumba
 
Ila we Mkuu umenishinda tabia 😅😅🙌

Kwa taarifa, binti yetu alisomea Marekani huko na alifanikiwa kupata PhD akiwa na 29 Mwaka Jana.

Kwahiyo bado ni mteketeke, kama ni nyama ingekuwa ile ya maini huhitaji kuvunja mifupa 🤗
 
Kama under 35 huyu bado anafaa hata mimi nam mudu hanisumbui kabisaa. Posa elfu 30 au 50 niweke kwenye bahasha??
 
Back
Top Bottom