Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Kudadeeeki..Tena inawezekana ikawa Tangazo kabisa...nilijichanganya kwa mtu nikatupa 20k ya lunch..nikaambiwa yy sio mtoto wa sekondari ...toka siku hy nikanyoosha mikono juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kudadeeeki..Tena inawezekana ikawa Tangazo kabisa...nilijichanganya kwa mtu nikatupa 20k ya lunch..nikaambiwa yy sio mtoto wa sekondari ...toka siku hy nikanyoosha mikono juu
Hahahaha humu 20k kwa wadada wa humu ni hela ambao hawezi kununua hata chakula wala vocha ..Kudadeeeki..
Mnawakosea kuna mahala inawezekana. 20k ni pesa ndefu tu. Walioko mtaani ndio walioko jf.Hahahaha humu 20k kwa wadada wa humu ni hela ambao hawezi kununua hata chakula wala vocha ..
U daktar wake hata sio tatizo maana hatuna mpango wa kwenda kuishi wodini. Je ana ujuzi wa kupasua mbususu kwa ustadi kupenyeza vya kupenya??Vijana inaonekana mmeanza kusahau utaratibu wa Kuoa eeh?.
Kama umempenda binti yetu Dr Lizzy hakikisha unatuma Wazee wako walete barua ya Uposa.
Then sisi Wazee tutakaa kikao kukufanyia evaluation kuona kama unakidhi vigezo kumwoa binti yetu.
Jitahidi uwahi mapema kuleta hiyo Posa yako, maana tayari kuna Proposal 3 zipo Mezani kwetu Wazee ili tuendelee na Mchakato 🤗
Ukiweza niletee Kiko pair 3 ili nikusaidie kuwashawishi Wazee wenzangu wapokee Posa yako 😜
Kumbuka Binti yetu ni Daktari huyo 🤗
hahahahahaha..wakiwa humu wanakua wasomi wa hali ya juu ...wana matumizi mengine kabisa ...wakiwa humu 20K haifai hata kwa vochaMnawakosea kuna mahala inawezekana. 20k ni pesa ndefu tu. Walioko mtaani ndio walioko jf.
Sasa hapo ndipo yalipo makosa.. drag them normal ground first then start offensive attackshahahahahaha..wakiwa humu wanakua wasomi wa hali ya juu ...wana matumizi mengine kabisa ...wakiwa humu 20K haifai hata kwa vocha
Yanini shida yote hy..unaingia kitambaa au dance club shida zote zinaishaSasa hapo ndipo yalipo makosa.. drag them normal ground first then start offensive attacks
Ahahahahahahah...kabisaaaaYanini shida yote hy..unaingia kitambaa au dance club shida zote zinaisha
Nawewe Leejay49 nakupenda unakaustarabu fulan.....comment fupi dada wawatuWewe Penseli Kila mtu unasema unampenda,,.. Ila kwa Dr Lizzy baraka zangu zote umepata
Jaribu kutumia soft language, isije Wazee tukapitisha Posa Yako then Binti mwenyewe akaja akaikataa.U daktar wake hata sio tatizo maana hatuna mpango wa kwenda kuishi wodini. Je ana ujuzi wa kupasua mbususu kwa ustadi kupenyeza vya kupenya??
Anhaa kumbe..sio daktar wa hospital!? Bas kama ana phd huyu kibongo bong she is over 45 now. Huyu mali inabid iwe chini maana atakaye muoa anakwenda kuwa na kibarua kizito sana cha kutetea nafasi yake kama mwanaume ndani ya nyumbaJaribu kutumia soft language, isije Wazee tukapitisha Posa Yako then Binti mwenyewe akaja akaikataa.
Infact she posses PhD ya Darasani kabisa siyo zile nyingine za kupewa 😜
Ila we Mkuu umenishinda tabia 😅😅🙌Anhaa kumbe..sio daktar wa hospital!? Bas kama ana phd huyu kibongo bong she is over 45 now. Huyu mali inabid iwe chini maana atakaye muoa anakwenda kuwa na kibarua kizito sana cha kutetea nafasi yake kama mwanaume ndani ya nyumba
Kama under 35 huyu bado anafaa hata mimi nam mudu hanisumbui kabisaa. Posa elfu 30 au 50 niweke kwenye bahasha??Ila we Mkuu umenishinda tabia 😅😅🙌
Kwa taarifa, binti yetu alisomea Marekani huko na alifanikiwa kupata PhD akiwa na 29 Mwaka Jana.
Kwahiyo bado ni mteketeke, kama ni nyama ingekuwa ile ya maini huhitaji kuvunja mifupa 🤗
Thanks 🤗Nawewe Leejay49 nakupenda unakaustarabu fulan.....comment fupi dada wawatu
Halafu majina yake mapya yanaungana na mfanano mfano ShadrackAmri uiwahi kumdhania kuwa ni kipenseliSimjui huyo penseli😃😆😆🤣