i love u so much please understand me

i love u so much please understand me

Hahahaha, kama ulimtumia picha umekaa kama model
na yeye alidhani unamfanana kingwendu, sasa ulitakaje?
Akiendelea kuubisha mwambie aniulize mimi nimthibitishie
hahah imebidi anichunie bhana,kila tukiongea anataka nimtumie,namtumia zile zile anadhani namfanyia usanii,itabidi nimwelekeze kwako
 
Huyo jamaa anakupenda,coz alijua hawezi kuwa na wewe ndo maana hakutaka zaidi ya story,so ukiforce mapenzi utapotea mrembo.
 
Nyie Mijibaba, muache hizi tabia mbaya za kutongoza tongoza!!, Hamuoni haya,, hata wanaovunja ungo pia....... Laaaahhh ni lana gani hiiiii Majogoo mazee yasiokuwa na ADABUU NYOOOOO!!!!!. Tutaanza kuwa MUUULIKA HUMU

Anza kummulika Kaizer,amezidi huyu,hivi tunavyoongea yuko bize anamwimbisha Catherine poor cathy.
 
Last edited by a moderator:
hii ni zaidi ya hatari..
Yaani ukasave avatar yake kwenye screen yako
Yaani ukamtumia Picha yeye akagoma kukutumia..
Ila mbaya huyo kaka
kwanini akuombe mpaka account ya FB harafu yake akatae kukupa
Ooops JF ni zaidi ya vile tunavyodhani
Sasa Shost yaani mtu anakuumiza ambaya humfahamu ..avatar tu...atakuwa jini mahaba huyo am kidding :israel:

Ngoja nikajipatie update za Dr U...
Naomba unitumie picha yako tafadhali FirstLady.
 
Last edited by a moderator:
Gee mi mzima
i wonder if umeniuliza swali au just hi
but nilikumiss aisee

Nilikuwa nakusalimu, nakushutumu, na nakutuhumu kwa mpigo :rolleyez:

Haya mambo ya kutiana wazimu namna hadha inakuwaje? Wengine humu watoto mjue
 
Pole dadaa, tatizo ni vile amechukulia here watu wanafanya mambo bila kumaanisha dat y hawezi kuwa na wewe imeshajijenga akilini mwake, pia kuna uwezekano anakupenda na hayupotayari kuwa na wewe kwasababu, may be he has a family . so kwa ushauri tu just stay a way na huyo mtu kama anakupenda pia atakutafuta coz anajua wapi atakupata pole sana. u can not hate the person u love u only felt hasira kwa kutokutekeleza la moyoni mwako.
 
Nilikuwa nakusalimu, nakushutumu, na nakutuhumu kwa mpigo :rolleyez:

Haya mambo ya kutiana wazimu namna hadha inakuwaje? Wengine humu watoto mjue


sasa nyinyi ambao sio watoto mkikimbia humu
tunakosa ku enjoy the art of flirting..
mwisho tunaangukia watoto
anyway sijui ni nani huyu
mimi ninge mu handle tu taratibu
ningemkuza lol
 
sasa nyinyi ambao sio watoto mkikimbia humu
tunakosa ku enjoy the art of flirting..
mwisho tunaangukia watoto
anyway sijui ni nani huyu
mimi ninge mu handle tu taratibu
ningemkuza
lol

Ha ha ha ati nini?!

Nimefurahi kuona umzima wa afya
 
Possibly that man anakufahamu vizuri!yawezekana hata ni workmate wako na tayari yuko ktk mahusiano mengine thats why anashindwa kujireveal kwako!jifunze kutopenda visivyoonekana!
 
Back
Top Bottom