i love u so much please understand me

i love u so much please understand me

we labtec hujui maisha y ndoa ndiyo maana, unaachia achia moyo wako bila umakini!sasa angekuoa,just honey moon,akakuacha na kwenda kucheat na wenzio ungefanyaje?wait,upate ambaye anakupnda bila utani!marriage is not a scene ya tamthiliya!
 
babu yangu mchunie Rogie yupo busy na wajukuu, huyu wa humu ndani leo nimekwama kushauri, akili imestuck!

Rafiki wakwe zangu hawajambo? Itabidi tuwakutanishe faster kabla hawajazugwa huku JF, au unasemaje?

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ukisusa wenzio wala, njoo nikukune hicho kidonda kinachokuwasha lol..; raha ya kidonda ipate mkunaji..(
 
I hope your all fine

I just wanted to say am heart broken and I don’t know what to do next

Nilitokea kumpenda mkaka mmoja sana kupitiliza ingawa sijawai kumuona ila ni kwakuchat naye humu ndani (najua mtashangaa sana).he was so polite to me ever,he was so sweet ever,so caring I have never met in my whole life before,and so gentle than I can explain,nikajikuta nimempenda sana kupitiliza mpaka namuota

usiku,sikuishia hapo I took his avatar and made it my screen saver in my laptop home and at my office computer,I was like running crazy to him .he asked my facebook account I didn’t even think twice I just gave him the link and asked for his account and he said ooh! Don’t worry I will give it to you soon but he never did,then he said to me do you know the meaning of dustbin ,,,I said to him yes I do know


…then he continued just take me as your dustbin and throw all your photos to me and never empty the dustbin..i was like crazy and very happy then I did it mean time I spent the whole week going every place around the city to take some new photos and new clothes to make him see me beautifully at the moment and sent all photos to him,,even my phone number but he never made that call back..



Tuliendelea kuongea mara nyingi na kuna wakati nilikua namuomba kua siwezi kulala can you help me to sleep na alikua ananisaidia kuniandikia maneno ya kunifanya najisikia furaha mpaka nalala,then one day I asked him if he is real in love with me like the way I do

You know what I wish nisingemuuliza hilo swali mana alijibu kwa upole(in written words)ila nilielewa aliandika kwa upole sana kua dada kwani umejiunga lini huku JF? Na usichukulie mambo ya huku kua ni serious kiasi hicho,,huku ni stress freezone ivo hakuna ya ukweli huku hata moja.na usione watu wanataniana humu ndani ukadhani wanamaanisha kila mtu anamaisha yake huko uraiani.
ni ivo tu alinijibu alafu akawa ananipotezea nikimuandikia hajibu au anachelewa sana kujibu mpaka nilivochoka nikaacha ila nimeumia sana mana mimi nilimpenda sana na I was thinking about him a lot na kujiona mimi na yeye katika ndoa tayari na watoto wetu.najua mtashangaa sana ila naomba mnisaidie ili niondokane na hii hali mana najisikia vibaya mpaka nashindwa kutoka nje(I feel so lonely)


Nimeshamtumia text(pm) nyingi anajibu kama kaka yangu (sio kama zamani tuliongea kama wapenzi)na kunisihi eti nisiendekeze mambo ya JF lasivo nitakufa kabla ya siku zangu mana huku hakuna cha ukweli hata kimoja,,yeye ameshaniona mimi ila mimi sijawai kumuona au he didn’t like me

I regret sending my all photos to you..i hate you but I love you and you know that so please answer my PM please????

Ps: I love u

Mhhhh! Pole sana kwa yaliyokukuta.

 
Last edited by a moderator:
Hua nasema mara kibao hapa.
msingi wa mapenzi siku zote ni hisia. lakini kamwe hatutakiwi kuziacha
hisia zikakontrol gurudumu la mapenzi kwa 100%. ungeapply akili apa
wala usingejikuta huku.
haya ndo matatizo yale sasa.
 
kuwa mwangalifu dunia hii usiwe unaruhusu moyo wako kupenda kilahisi kama hivyo.
 
Nyie Mijibaba, muache hizi tabia mbaya za kutongoza tongoza!!, Hamuoni haya,, hata wanaovunja ungo pia....... Laaaahhh ni lana gani hiiiii Majogoo mazee yasiokuwa na ADABUU NYOOOOO!!!!!. Tutaanza kuwa MUUULIKA HUMU
 
hii ni zaidi ya hatari..
Yaani ukasave avatar yake kwenye screen yako
Yaani ukamtumia Picha yeye akagoma kukutumia..
Ila mbaya huyo kaka
kwanini akuombe mpaka account ya FB harafu yake akatae kukupa
Ooops JF ni zaidi ya vile tunavyodhani
Sasa Shost yaani mtu anakuumiza ambaya humfahamu ..avatar tu...atakuwa jini mahaba huyo am kidding :israel:

Ngoja nikajipatie update za Dr U...
 
start new page,and forget all about him.
 
Ashawahi kukutumia picha yoyote then haukuamini kama ndo picha yake?
 
:biggrin1: nimecheka pale aliposema usiku akilala anamuota wakati hata kumuona kwa sura hamjui, hivi kweli can u fall in love with a screen saver?
 
pole sana,
bora kakukimbia ana matatizo huyo ya saikolojia,ni wale wanaopata satisfaction kwa kukeep kitu cha mwanamke ungeenda kumkagua chumbani kwake labda ungekuta picha za wadada wengine kibao,chupi,sidiria etc achana nalo halikufai lingekupa pressure tu.....picha fanya kama umezipoteza...

teh teh Jestina kama yule jamaa aliyemtongoza demu alipokubaliwa akasema nilikuwa nakutania tu.
 
Last edited by a moderator:
Kuna mtu kanionea CUTE kwen hii sredi?

ahsanteni.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha, poleeeeeee.n Hii ndio JF bwana, be careful
Ila ningeomba unipe ID yaken, Maana na mimi nina matatizo
Usiku sometimes sipati usingizi :yawn:
 
Hahahaha, poleeeeeee.n Hii ndio JF bwana, be careful
Ila ningeomba unipe ID yaken, Maana na mimi nina matatizo
Usiku sometimes sipati usingizi :yawn:
Pole sana Mwali,mi kuna moja amenitumia picha zake,nimemtumia zangu ila haimini kama ni mimi na ameninunia
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mwali,mi kuna moja amenitumia picha zake,nimemtumia zangu ila haimini kama ni mimi na ameninunia
Hahahaha, kama ulimtumia picha umekaa kama model
na yeye alidhani unamfanana kingwendu, sasa ulitakaje?
Akiendelea kuubisha mwambie aniulize mimi nimthibitishie
 
Back
Top Bottom