i love u so much please understand me

i love u so much please understand me

wanaume wa jf,wanapenda sana kutongoza.usipokuwa makini,utajikuta unajisahau na unaingia kimapenzi,wao kwao ni fiction tu.pole sana,kuna mmoja humu alishawahi kulalamika.iwe fundisho jamani,wengi wao humu wana wapenzi wao nje.usikubali hata siku moja,maana kisukari kama mimi,nikimpenda mtu,huwa napenda kweli kweli.ila kwa jf sithubutu.leo atatongoza humu,anaangalia upepo,pengine kesho atatongozwa mwengine face book.akikuchoka wewe,atatafuta mwengine tena.jamani muwe makini.humu jf,sitokutana na yeyote yule.nikiwa na stress zangu,naingia jukwaa lile la private,nafurahisha genge,na sign off najiendea zangu kazini

Kisukari unasemaje?
 
Labtec, bado huyo handsome bwoi hajajibu Pm? Naomba feedback.
 
Kazi kweli kweli, pole sana dada hayo ndiyo mambo ya utandawizi.
 
Yaani ujue braza wee mkorofi??

Ila nimependa uchambuzi huu so detailed.

Na wanawake wa JF vipi, wao hawapendi kutongozwa?



Hata wanawake wa JF nao hivyo hivyo. Wengi wao ni wasanii tu na watu tuna first hand experience ya usanii wao. Kwa hiyo mpaka hapo ni ngoma droo.



Hata wanawake wa JF nao hivyo hivyo. Wengi wao wana wapenzi wao nje lakini humu wanajifanya wako singo.



Hata mimi Ngabu, yaani mimi kama mimi, nikimpemda mwanamke huwa nampenda kweli kweli.



Kusema kweli hata mimi nimekoma. So far nimeambulia patupu. Yaani full usanii. Najuta kuwajua hao niliowajua.



Kweli kabisa. Unakutana na mdada humu unadhani wewe kwake uko peke yako. Kumbe hapa hapa JF mko wengi. Anajitongozesha kwako leo, Facebook anajitongozesha kwa The Boss, Skype yuko na The Finest...akirudi kwako anamuua mmoja wao kati ya hao. Anakusimulia yote kuhusu huyo mtu. Oh yuko hivi, yuko vile. Akitoka kwako anarudi kwa The Boss. Huko anaanza kutiririka kuhusu wewe sasa. Utasikia...'ah yule Ngabu michosho sana. Anajifanya much know sana, anaringa sana, anajifanya eti handsome, n.k.



Huu ushauri mzuri sana na unahusika kwa jinsia zote. Kuweni makini jamani.



Hata mimi nimejifunza hilo. Nimekutana na wanawake wasanii sijapata kuona. Chondechonde akina kaka wenzangu. Kuweni waangalifu na hawa wadada wa humu.



Wewe kweli ni mhudhuriaji na mchangiaji mzuri sana kule.
 
Mie nadhani hii tabia sio nzuri na sidhani kama inaendana na sheria za forum hii.

Ungemtaja jina basi tu I'd yake ioze, lo utoe picha zako then unachezewa?

Pia jua anaweza kuwa mwanamke, mume wa. Mtu, katoto kadogo chochote kile taja jina la humu.
 
pole my dear! and its not true kuwa watu wote hawako serious in relationships hapa jf, aliyeni-influence mimi kuingia jf ni rafiki yangu na hubby wake, and they met here here! so take your tym, mpotezee japo ni ngumu! then atakuja tu wa kwako if at ol umepangiwa kumpata hapa! ol the best!
 
Dada unajua kwenye hili jukwaa kuna watu wengine hawaishi bongo eenh!<br>Vile vile kuna wengine hapa ni kijiweni tu, maisha yao ya ukweli yapo upande mwingine...<br>Anza tu kwa upya, kama ulituma na picha pengine muhusika hajavutiwa nawe kivile(if u know what i mean), wanaume huvutiwa kwa kuona/kutazama...<br>Wakati wanawake huwa mnatumia hisia ya sita, hivyo ruhusu tu kukubali kuwa yaliyopita si ndwele!
 
Hebu jaribu kusahau.alaf anza kuchat na mimi nadhani ita saidia kumsahau.

Pole sana.
 
Kongosho nitumie mapicha yako nikutathimini maana unanisumbua sana kwenye PM.......ooh mara wewe hendsam (umeniona?) mara napenda mwandiko wako (kwani naandikia wino)
 
Last edited by a moderator:
bora asijaribu mana ataishia kutuma picha na kuumbuka kama mimi ..mana hapa nabakia najiuliza hajanipenda..mimi mbaya sana ama ni kitu gani jamani

Dadangu huyo jamaa mm naona ni mstaarabu sana...
 
Alikuwa anampa maneno mazuri mazuri ya kimapenzi zaidi..
Rogie upo my dear?? he hatupishani siku mbili hizi kulikoni?? mwenzio nilinogewa na ukaguzi wa babu kha!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana my dear!kama alivyokwambia mambo ya kwenye mitandao especialy Jf ambako watu tunatumia fake identity sio ya kuchukulia serious unless umemuona mtu live na ukathibitisha kila kitu phyisicaly!! Take heart and move on mwaya ndo maisha!
 
Back
Top Bottom