hahah imebidi anichunie bhana,kila tukiongea anataka nimtumie,namtumia zile zile anadhani namfanyia usanii,itabidi nimwelekeze kwakoHahahaha, kama ulimtumia picha umekaa kama model
na yeye alidhani unamfanana kingwendu, sasa ulitakaje?
Akiendelea kuubisha mwambie aniulize mimi nimthibitishie
Nyie Mijibaba, muache hizi tabia mbaya za kutongoza tongoza!!, Hamuoni haya,, hata wanaovunja ungo pia....... Laaaahhh ni lana gani hiiiii Majogoo mazee yasiokuwa na ADABUU NYOOOOO!!!!!. Tutaanza kuwa MUUULIKA HUMU
Who the hell are you and why the hell do you miss me?
Naomba unitumie picha yako tafadhali FirstLady.hii ni zaidi ya hatari..
Yaani ukasave avatar yake kwenye screen yako
Yaani ukamtumia Picha yeye akagoma kukutumia..
Ila mbaya huyo kaka
kwanini akuombe mpaka account ya FB harafu yake akatae kukupa
Ooops JF ni zaidi ya vile tunavyodhani
Sasa Shost yaani mtu anakuumiza ambaya humfahamu ..avatar tu...atakuwa jini mahaba huyo am kidding :israel:
Ngoja nikajipatie update za Dr U...
Sana tu,kama bishanga ninavyokufa na kuoza kwa The secretary.:biggrin1: nimecheka pale aliposema usiku akilala anamuota wakati hata kumuona kwa sura hamjui, hivi kweli can u fall in love with a screen saver?
Unataka akuote?
G,za masiku?
Sana tu,kama bishanga ninavyokufa na kuoza kwa The secretary.
Gee mi mzima
i wonder if umeniuliza swali au just hi
but nilikumiss aisee
Nilikuwa nakusalimu, nakushutumu, na nakutuhumu kwa mpigo :rolleyez:
Haya mambo ya kutiana wazimu namna hadha inakuwaje? Wengine humu watoto mjue
sasa nyinyi ambao sio watoto mkikimbia humu
tunakosa ku enjoy the art of flirting..
mwisho tunaangukia watoto
anyway sijui ni nani huyu
mimi ninge mu handle tu taratibu
ningemkuza lol
Ha ha ha ati nini?!
Nimefurahi kuona umzima wa afya