Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
wanaume wa jf,wanapenda sana kutongoza.usipokuwa makini,utajikuta unajisahau na unaingia kimapenzi,wao kwao ni fiction tu.pole sana,kuna mmoja humu alishawahi kulalamika.iwe fundisho jamani,wengi wao humu wana wapenzi wao nje.usikubali hata siku moja,maana kisukari kama mimi,nikimpenda mtu,huwa napenda kweli kweli.ila kwa jf sithubutu.leo atatongoza humu,anaangalia upepo,pengine kesho atatongozwa mwengine face book.akikuchoka wewe,atatafuta mwengine tena.jamani muwe makini.humu jf,sitokutana na yeyote yule.nikiwa na stress zangu,naingia jukwaa lile la private,nafurahisha genge,na sign off najiendea zangu kazini
Kisukari unasemaje?