π π π
Mapenzi bwana!Tutamcheka tutambeza tutamkejeli na kumdhihaki mleta mada lakini kamwe hatujachukua walau sekunde kutafakari kipindi anachopitia na jitihada za kuomba suluhu hadi kufikia kuja kupost hapa
Kuna maumivu yake makubwa sana kwenye hili... Mwana kala buyu hataki kusamehe... Hatujui kosa ni ninini hivyo siwezi kuhukumu kikubwa hapa ni mmoja kaamua kujishusha kabisa na kuomba radhi kwa njia hii... Ametua mzigo mzito...
Kaka jamani!Na December hii amekata kamba coz mambo ni mengi, pesa hakuna. Subiri amalize majukumu yake mid January, he'll be there for you. Wanaume sisi Mungu anatuona...
Acha kufukua makaburiiiTake me as I am
My Dear I know your here and read this post please take me as i am and do not listern to people advirse .πππ Love is like the amount it will kills you or not.www.jamiiforums.com
Now its over
Acha kufukua makaburiii
He did but not nowAcha kufukua makaburiii
Now its over
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ooh.... Ngachoka kabisa mimi...!!!
It's okay!He did but not now