I Love u so much

I Love u so much

Na December hii amekata kamba coz mambo ni mengi, pesa hakuna. Subiri amalize majukumu yake mid January, he'll be there for you. Wanaume sisi Mungu anatuona...
 
Tutamcheka tutambeza tutamkejeli na kumdhihaki mleta mada lakini kamwe hatujachukua walau sekunde kutafakari kipindi anachopitia na jitihada za kuomba suluhu hadi kufikia kuja kupost hapa

Kuna maumivu yake makubwa sana kwenye hili... Mwana kala buyu hataki kusamehe... Hatujui kosa ni ninini hivyo siwezi kuhukumu kikubwa hapa ni mmoja kaamua kujishusha kabisa na kuomba radhi kwa njia hii... Ametua mzigo mzito...
Mapenzi bwana!
 
Na December hii amekata kamba coz mambo ni mengi, pesa hakuna. Subiri amalize majukumu yake mid January, he'll be there for you. Wanaume sisi Mungu anatuona...
Kaka jamani!
 
Back
Top Bottom