Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mangi Leo miruko wapiYou fall somebody humjui kama ni jilimwanaume la ovyo 😅😅😅😅
Kimsamiati wa Kingereza, hivyo ulivyoandika kwenye heading ya huu uzi maana yake humpendi huyo mtu.Hi ni mara ya pili nimenasa kwake ila bado hajanipa majibu ila nimerudi kwa mara nyingine ili ajue Kama nilimpenda sana. Ila Kama haiwezekani basi
PyeeeeeeHapo umebugi mkuu!
😂😂😂 Anakimbia kununua AbayaSiku nyngn mpange mapema sio idd kesho ww Leo ndo unaanza harakati usiku
👋You fall somebody humjui kama ni jilimwanaume la ovyo 😅😅😅😅
HahahahahaHuyu mshkaji wako anajizima data,Mtu keshapewa za uso kitambo bado anang'ang'ana mpaka aliwe nauli ndio aje alielie humu
😂😂😂😂 Oya unazinguaHuyu mshkaji wako anajizima data,Mtu keshapewa za uso kitambo bado anang'ang'ana mpaka aliwe nauli ndio aje alielie humu
K bana au humpendi 😜Yupi huyo ebu fungua codes hata kwa herufi ya kwanza😂
Jibabu la haja lenye bus*a lake 😂😂😂Uliwahi kumuona live, kama je ni mwanamme au mbibi!
Abaya ni vazi liko overrated sana, mbn zipo nguo kibao tu unaweza vaaa ukawaka kinoma!😂😂😂 Anakimbia kununua Abaya
Ana kua side nigah, matatizo madogomadogo ana solve.Mi mke wa mtu, siwezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja
Leo eid bana Abaya ndio mwake…!!Abaya ni vazi liko overrated sana, mbn zipo nguo kibao tu unaweza vaaa ukawaka kinoma!
Wifi mwaliko wa pilau mbona umeubania??Nyieeee IDD MUBARAK🕋
Anachangamsha kijiwe wala hayuko serious mwenzenuAna kua side nigah, matatizo madogomadogo ana solve.