I Love you too much Lamomy

Na mi nilikushtukia kitambo we ni choco ila nilitaka ujidhiirishe haya tulia washakuona ss hivi utapata basha mrembo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmeanzaa sasa, khaaaah
 
Coca kasema bajeti yako ya mwezi eti [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ww unamuitaje demu na hata pesa ya nauli huna jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu em sema kwelii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kwa kifupii kanyooka kila idara, bhana kona kona.
Ushindwee wee tyuuh
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ udugu sema kweli??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmeanzaa sasa, khaaaah
Yani unajitahidi kuvuka level za uchachuaji lkn viumbe wazito wanakurudisha kilazima, hili dubwasha hata sijui limetokea wapi?? Lipo km sele πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Hamis kaona paja kadata
Yani kila nikitaka kuacha vurugu lazima choco lijitokeze, sijui nifanyeje?? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kuna muda unachoka kugombana ila waja hawaridhiki
 
Half Cast koko wa Tegeta nyukii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uliachwa na wachina wa Merkezz, uwiiiih
ila watu mna maneno, kwahiyo niliachwa, mi mchina πŸ˜‚
Your browser is not able to display this video.
 
Yani unajitahidi kuvuka level za uchachuaji lkn viumbe wazito wanakurudisha kilazima, hili dubwasha hata sijui limetokea wapi?? Lipo km sele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una nn na selee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…