I Love you too much Lamomy

I Love you too much Lamomy

Coca kasema bajeti yako ya mwezi eti [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa ww unamuitaje demu na hata pesa ya nauli huna jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu em sema kwelii.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mmeanzaa sasa, khaaaah
Yani unajitahidi kuvuka level za uchachuaji lkn viumbe wazito wanakurudisha kilazima, hili dubwasha hata sijui limetokea wapi?? Lipo km sele 😂😂😂😂😂
 
😅😅😅😅 Hamis kaona paja kadata
Yani kila nikitaka kuacha vurugu lazima choco lijitokeze, sijui nifanyeje?? 😂😂😂😂
Kuna muda unachoka kugombana ila waja hawaridhiki
 
Half Cast koko wa Tegeta nyukii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uliachwa na wachina wa Merkezz, uwiiiih
ila watu mna maneno, kwahiyo niliachwa, mi mchina 😂
 
Yani unajitahidi kuvuka level za uchachuaji lkn viumbe wazito wanakurudisha kilazima, hili dubwasha hata sijui limetokea wapi?? Lipo km sele [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una nn na selee?
 
Back
Top Bottom