I Love you too much Lamomy

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] toleo jipya humu ni wengi, tatizo hawajikubaliii, wanataka mauzo kupitia kismati cha wenzao.

Uduguu kwann lakiniii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu hawajifichi toleo jipya, sasa mwanaume mzima unajisifia mambo ya insta kweli?? Mi nilijua litasema linamiliki kampuni kadhaa nishtuke!! Kumbe anamiliki acc ya insta ya kujibrand alivyo mrembo πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸƒβ€β™€οΈ
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu hufai aiseee!! Yani tuliyoongea yote yameingia huku yametokea kule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu taratibuuu.
 
Chapati tunalo humu humu usiondoke udugu tumchachue mifungo yote ishaisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani toleo jipya wanafoc mauzoo mnoo. Sijui kwann hata.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila umejua kunichekesha leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila JF bhana, full manjegekaaa.
Unabakii kusema "hiii", kwa sauti ya JPM, lol
 
Coca kasema bajeti yako ya mwezi eti πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Sasa ww unamuitaje demu na hata pesa ya nauli huna jamani
😁😁😁😁😁 Daaah coca ananianzaga tuu bila sababu...

Ila tayari nishafanikisha hapa acha niinjoi life
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…