I Love you too much Lamomy

I Love you too much Lamomy

Wa huko vijijini ndani ndani, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣 udugu vijiji gani treeenah!!!
Em niache kwanza mbavu zinauma, kuna mishangazi mpk ya bush?!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
😂😂😂😂 udugu humu tumevamiwa na warembo wa insta, halafu kumbe kinamuuma tunavyochat na linatujua vzr sijui li nani??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] udugu humu tumevamiwa na warembo wa insta, halafu kumbe kinamuuma tunavyochat na linatujua vzr sijui li nani??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] toleo jipya humu ni wengi, tatizo hawajikubaliii, wanataka mauzo kupitia kismati cha wenzao.

Uduguu kwann lakiniii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha! Najua nimekuumiza baada ya kumention Insta iliyojaa watoto wakali wanaokufanya uwe insecure. That's why umekuja kujificha huku kwenye fake id. Kama wewe sio insecure na ninachokisema sio kweli then nipe your Insta name.
Also, bitch please! Wewe ndio umeanza kuniquote.

And just so you know, I'm not interested.
Easy and breathe Bro
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] half cast koko, leo bata wapiii?
Au Hong Kong ya geza ulole kwa baba zako wadogo?
😂 niache tafadhali si mmeninyima mialiko. Jf Members wazuri na mnakomenti vizuri lakini wachoyo acha nicheki uefa.
 
Mwenzio kanichekesha hapo juu mpk watu wananishangaa nilivyocheka kwa sauti 😂😂😂😂
Udugu kachachuka leo
kwahiyo mi toto ya mchina wa yap markez 😂😂😂😂
Dah jirani utanikosa nikifa 😅
 
Back
Top Bottom