I love you...

I love you...

yawii.
Si oni haja ya ku toka nje ya mipaka yangu kutafuta upendo.
Milango iko wazi na Muda ndo jibu ya kila swali. Si uoga wala kitu kama hicho.
ni Self confidence..
Hutaki kutoka kwasababu unajua hamna atakaekufuata.
 
Hehehehehe . . . .
Afro utajijuuuu.

hahahahahha lol


Hakuna Matata, What a wonderful phrase

Hakuna Matata, Ain't no passing craze

It means no worries for the rest of your days

It's our problem-free philosophy

Hakuna Matata!

Hakuna Matata?

Yeah. It's our motto!
 
Kakandoo you know very well mama mchungaji doesn't do guessing games. We funguka mwenyewe kabla sijakuembarass kwa kuwatumia wakaka wote PM kuwauliza kama unawapenda na wao wanakupenda.

Hahahahaaa.....nah! Huku jf hakuhusiki kabisa, the deal is given to someone else whom mama mchungaji knows/she is presumed to know!!
 
Kama sababu ya kuto penda ni uoga basi namuunga mkono Lizzy. ila kama ni just self love, umetosheka na wewe mwenyewe (bila kufungia love mlango in case one shows up) hapo sawa.
Roulette (kigeugeu)

Hehehehehe . . . .
Afro utajijuuuu.

yawii.
Si oni haja ya ku toka nje ya mipaka yangu kutafuta upendo.
Milango iko wazi na Muda ndo jibu ya kila swali. Si uoga wala kitu kama hicho.
ni Self confidence..
Back on Afro side, sorry Lizzy
 
ha ha ha, kama huna moyo vakeshen mto wa mbu
utaiskia Spain kwenye radio tu.

UnawaPM kwamba?Sipendeki?Sina moyo?
Mbona wanajua, with me everything is purely physical, just the way they like it.
 
hahahahahha lol


Hakuna Matata, What a wonderful phrase

Hakuna Matata, Ain't no passing craze

It means no worries for the rest of your days

It's our problem-free philosophy

Hakuna Matata!

Hakuna Matata?

Yeah. It's our motto!
Hakuna matata mwenyewe.
 
Hahahahaaa.....nah! Huku jf hakuhusiki kabisa, the deal is given to someone else whom mama mchungaji knows/she is presumed to know!!
Weeeeeeee kakondoo.Really?
Mama mchungaji is excited and happy for ya.Ila sasa inabidi zile kazi aanze kusaidia ili niwe namfagilia.
 
Leo bendera inahangaika kufuata upepo

nagonga like si natumia mobile
Mi naamini self love ipo, for self confidence reasons. sasa hapo juu afro alitaka kunichanganya kua her reason is hana uhakika na watu anao weza wakabidhi roho yake (risk taking), nikataka kugeuka, then nikarudi tena alipo sema she is self confident. . .
 
Hutaki kutoka kwasababu unajua hamna atakaekufuata.

ahhhhh
kwa taarifa yako nimewapanga .
hahahahahah lol. ila sitaki wanipenda kwa
ninachokifanya au kwa sababu ya kitu fulani.
Nataka atakae mpenda Afrod kama Afrod. ..
 
Back
Top Bottom