Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
I love you kakondoo. . . .
I love you moooree mama mchungaji......! Wenyewe wanasemaga, nakupenda we kinoma noma!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I love you kakondoo. . . .
ha ha ha, then you dont have one?
Hutaki kutoka kwasababu unajua hamna atakaekufuata.yawii.
Si oni haja ya ku toka nje ya mipaka yangu kutafuta upendo.
Milango iko wazi na Muda ndo jibu ya kila swali. Si uoga wala kitu kama hicho.
ni Self confidence..
Asante kakondoo.I love you moooree mama mchungaji......! Wenyewe wanasemaga, nakupenda we kinoma noma!!!
Hehehehehe . . . .
Afro utajijuuuu.
NawaPM wale wagombea
La sivyo futa kauli
Kakandoo you know very well mama mchungaji doesn't do guessing games. We funguka mwenyewe kabla sijakuembarass kwa kuwatumia wakaka wote PM kuwauliza kama unawapenda na wao wanakupenda.
Kama sababu ya kuto penda ni uoga basi namuunga mkono Lizzy. ila kama ni just self love, umetosheka na wewe mwenyewe (bila kufungia love mlango in case one shows up) hapo sawa.
Roulette (kigeugeu)
Hehehehehe . . . .
Afro utajijuuuu.
Back on Afro side, sorry Lizzyyawii.
Si oni haja ya ku toka nje ya mipaka yangu kutafuta upendo.
Milango iko wazi na Muda ndo jibu ya kila swali. Si uoga wala kitu kama hicho.
ni Self confidence..
UnawaPM kwamba?Sipendeki?Sina moyo?
Mbona wanajua, with me everything is purely physical, just the way they like it.
Back on Afro side, sorry Lizzy
Hakuna matata mwenyewe.hahahahahha lol
Hakuna Matata, What a wonderful phrase
Hakuna Matata, Ain't no passing craze
It means no worries for the rest of your days
It's our problem-free philosophy
Hakuna Matata!
Hakuna Matata?
Yeah. It's our motto!
Weeeeeeee kakondoo.Really?Hahahahaaa.....nah! Huku jf hakuhusiki kabisa, the deal is given to someone else whom mama mchungaji knows/she is presumed to know!!
Back on Afro side, sorry Lizzy
Mi naamini self love ipo, for self confidence reasons. sasa hapo juu afro alitaka kunichanganya kua her reason is hana uhakika na watu anao weza wakabidhi roho yake (risk taking), nikataka kugeuka, then nikarudi tena alipo sema she is self confident. . .Leo bendera inahangaika kufuata upepo
nagonga like si natumia mobile
ha ha ha, kama huna moyo vakeshen mto wa mbu
utaiskia Spain kwenye radio tu.
Hutaki kutoka kwasababu unajua hamna atakaekufuata.
khaaa! Ungejua watu wanavobisha hodi......
Hutaki kutoka kwasababu unajua hamna atakaekufuata.
Geeeez RR, wewe sio kabisa. Unavunja tu spirit za watu.