I m a computer Engineer but I can't even hack a facebook account

Computer & Information Security ni specialized field, sio kila aliyesoma Computer Engineering atabobea huko.
 
Hacking ni more of software engineering...siyo kucheza na motherboard
 
Kissimmee hapa Orlando
Kissimmee, Florida pako country sana mzee hapo hata kuku wa kispanish sijui kama wanapatikana hapo? Nilikwenda kuna kisiwa kinaitwa Marco island patamu sana na Boca Raton hapo Orlando na Kissimmee sijapapenda sana.


Mbuzibee 🐐
 
Mimi nilisoma Malaysia,.
University ipi Kati ya hizo:-
Universiti Malaya (UM) Universiti Kebangsaan Malaysia (UKM) Universiti Putra Malaysia (UPM) Universiti Sains Malaysia (USM) Universiti Teknologi Malaysia


Mbuzibee 🐐
 
Mleta mada kama wazazi ndio walikusonesha pesa zimepotea bure kama ni serikali ilikusomesha pesa zimepitea bure kazi ya ku hack sio ya computer engineer ni ya Software Engineer yaani unatia hadi huruma hujui hata tofauti ya Computer Engineer na Software Engineer very sad .

Yaani wewe ni mjinga hadi basi degree yako unatakiwa kunyanganywa
 
Hujaeleweka huwezi kwa maana,hauna mbinu,au hujui jinsi ya kufanya?au uwezo unao lakini misingi ya imani yako inakuzuia?
 
Hacking ni utundu wa Programming, na wote hapo wanasoma hiyo. Kwa hiyo usimbeze mtoa mada.
 
Wewe na degree yako umejifunza basic aka fundmental skills only chuonii. Hayo mambo ya hacking ni ya extra inabidi ujifunze mwenyewe kwa efforts zako. Ulitegemea ungekuwa nguli wa kilka kitu baada ya kuhitimu bachelor degree?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…