I,m looking wife, especially from uchagani,ikiwa machame ni nzr zaid

I,m looking wife, especially from uchagani,ikiwa machame ni nzr zaid

Mangimeli

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
1,151
Reaction score
286
Jamani ninamaanisha i want to intr ma cv kabla ya yote,kishule nimeishia form four, ila ni mwajiriwa srkln, ma age is 30 yrs,ninayemtaka asivuke 28,elimu form four na kuendelea, na awe na mawazo ya maendeleo,ila na awe tayari kup endwa, nawasilisha wakuu.

basi kuna wanazi watakaokuja na wamachame this and that blah blah,mshindwe.

Utamfanya mtu afunge safari...

Source yako inatia shaka...sema kuna ndugu yangu alipiga jungu wakati yeye anajua zaidi...unasubiriwa kule twakutafuta.

jana baada ya kuwaambia nacheza kiduku nimepokea oda nyingi sana. Usiwaambie watu kama nipo huku.

Very intersting. Kijana unasema akiwa mmachame itakuwa nzuri zaidi. Unayo Tembocardmastercard?

Back
Top Bottom