Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh, teh, teh! Mioyo yetu imedondokeana kwaajil ya kufundishana kiduku tuu! Sangara ni mwanafunzi wangu mtarajiwa!inasemekana moyo wako umemdondokea sweetlady.
Source: do you remember-thread.

ila pia kaka ngependa nkuadvic kdooogo,"kama kakidhungu akajakaa penyewe uthika2mie coz thiku idhi akina dada wanajaji mpaka kakidhungu." n hayo 2 kaka ila dont take me wrng.

Jamani ninamaanisha i want to intr ma cv kabla ya yote,kishule nimeishia form four, ila ni mwajiriwa srkln, ma age is 30 yrs,ninayemtaka asivuke 28,elimu form four na kuendelea, na awe na mawazo ya maendeleo,ila na awe tayari kup endwa, nawasilisha wakuu.

Iruva akuwikye mboora mbe. Kwone nka na wana. Kwa jina la iruva,na yesu na mumuyo mweele...waaai mimi hata sikijui sijakulia nnden nabeep tu. All the best naona unatafuta kubota utajirike.

Wafomau mbalala fo,warunda mashora mpaka basi kesho unajenga ghorofa

Tafadhali msicheke hayo ni mambo ya kawaida tu.

Nawasilisha!

Jamani ninamaanisha i want to intr ma cv kabla ya yote,kishule nimeishia form four, ila ni mwajiriwa srkln, ma age is 30 yrs,ninayemtaka asivuke 28,elimu form four na kuendelea, na awe na mawazo ya maendeleo,ila na awe tayari kup endwa, nawasilisha wakuu.

shiweedima mbatiri mooondu fo sa alfu bila shaka we utaku mkibosho,nimefurai sana

eee sa!

wamashami shiwakundye fo sa,,watiri marero sana

jamani sasa hili jukwaa limebadilika from JF kuwa Kichaga Forum (KF). naona ndimi zindondoka tu sasa sijui tusioielewa lugha kama tumetusiwa au la (just kidding). back to topic. mkuu mke mwema hapatikani kwa kuweka condition au sifa unazozitaja bali hutoka kwa Mungu. Hizo sifa za mke unayetaka mpelekee Mungu akuchagulie lakini kwa mwanadamu uongo, utaishia majuto. mfano wangapi wanahitimu kwenye interviews kwa kuwa na sifa zinazohitajika lakini kazini mabwege tu? Omba Mungu akupe mke na sio utumie akili yako