All the best...
Hahahaha! Hakuna kipya hapa, namtia ndugu yetu moyo ampate mke mwema!..Nikaja mbio mbio kuangalia nini chaendelea huku...

Nikaja mbio mbio kuangalia nini chaendelea huku...

shemeji una wasiwasi.

Ha ha ha...mbona nimekuwa shemeji....
Mi mmachame wa mpwapwa.

inasemekana moyo wako umemdondokea sweetlady.
Source: do you remember-thread.

Utamfanya mtu afunge safari...

Source yako inatia shaka...sema kuna ndugu yangu alipiga jungu wakati yeye anajua zaidi...unasubiriwa kule twakutafuta.
EHh nkyeshowiya kyekue,kuishi kimashami?lyo au kuwonikye murin?