I,m looking wife, especially from uchagani,ikiwa machame ni nzr zaid

Jestina..kwani wewe ni wa machame?...huyu jamaa ameshajipanga...ngombe wa maziwa nadhan amenunua..kabati la...na ile toyota....hahaha...joking banaa...

basi kuna wanazi watakaokuja na wamachame this and that blah blah,mshindwe.

Very intersting. Kijana unasema akiwa mmachame itakuwa nzuri zaidi. Unayo Tembocardmastercard?

KALABASHI mwenge,, ,kwanza nimependa iyo,, mdau Tembocardmastercard-mhh iyo sina Ila GX 100 ya ukweli.

Hapa JF umepatia kabisa! Watoto wa kimachame wapi kibao!

shiishi kimashami den! Ewe keny nkwi?

SABRY, shanfura den,kyen nyi Nkuu, ndoo en, nkaa Daasilamu ,ewe kuifo kukaa, kukee fcb??

Nsawasawa siishi kimashami lakinile nsawasawa tu

Kila la heri baba... Nasikia wanaua waume zao lakini...

Kila la heri baba... Nasikia wanaua waume zao lakini...

amna bwana iyo ilitokeaga miaka iyo,ila dada zetu wa kimachame awapendi ujinga

Mkuu hebu tupe sababu, kwa nini mmachame tu?

Ukipata na mm nitapost req manake na mm natafuta mke, cv bado inapikwa

ukakuta...... jamaa ndo ivo tena kamwaga kuku kwenye mchele mwing cjui nana atakula mwenzake kuku au mchele.
wish u al da best broo.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…