''I made Davido Popular'' - Tanzanian Music Star, Diamond Boasts

Huwa wanaenda kuburudisha kwenye familia za watu,
kwa mfano wewe una kipaimara cha mtoto wako unampigia sim,anakuja fasta hata bila kuuliza malipo yatakuwaje.
wasanii wa bongo sifa kibao ila njaa tupu
 

Hahahahaaa qn of sheba utampasua jamaa kwa hiyo hoja unayompa. Ni wazi kwamba kichwa chake hakiwezi kuimeza.
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kuwaangalia hawa wasanii wote wawili kwenye nyimbo kimataifa Davido ni mkali kuliko Diamond. Aye na Skelewu zimetulia sana. Diamond bado hajatoa vitu vilivyotulia kama hivyo.

Ila kwenye show za jukwaani sasa. Davido hamna kitu. Hajui kucheza, na hajui kupanga wachezaji. Diamond amejipanga sana kwa kutawala jukwaa. Yeye mwenyewe yuko fiti na kundi lake la wanenguaji liko fiti.

Na kwa mtu kama mtu Diamond ana six pack, Davido hana. Kwa hiyo ikifikia ile steji ya kuvua shati ni Diamond tu anayewezaga kuvua. Davido sijawahi kumuona akivua shati.
 
Sasa videsa vinaandaliwa.By the way Diamond hajampa Davido umaarufu tz.
 

six pack nayo ni ishu?
 
Kama Diamond alisema hvyo basi alikosa adabu sana
 

I think Tanzania tuna style yetu na vionjo na of course talent katika staili mahususi; mfano wakenya hawezi rap music huku kwetu tunajua hardcore to hip hop. Watz ila hawajui R&B music kama wakenya. Hatuwezi kusema fulani hajui kitu flani wkati hatuchekani. Naona ni vizuri kujifunza kutoka kwa kila mmoja wetu bila kuweka tofauti zetu za kikabila na rangi.
 
maajabu haya jamani ki ukweli ni kwamba davido ndie kamtoa monds, davido yupo juu sana kimuziki another level na mond bado mchanga sana anaitaji sana support ya kina davido hili ajulikane zaidi. davido ni sawa na tyson na monds ni sawa na matumla sasa wapi na wapi jamani,naona monds aende walau kwa kiba akapate more training, haya masifa ya kitoto hayasaidii.
 

ali kiba ni sawa na maiti inayotembea katika muziki
 
Jamani mie mbona sioni issue kwenye hiyo statement .Nadhania no valid statement hasa hapo anamposema " that made him very popular in my country as well" anakubali he was popular but single ile ilisaidia Davido kuwa popular "zaidi" Tanzania, and also Diamond kakubali kwamba alimtumia Davido kupenetrate West Africa . Nadhani kichwa cha habari kimeblow out of proportional habari labda
 
Hata mie nimeshindwa hata kushangaa...

Davido katoa nyimbo nyingi Sana hazihesabiki,halafu alishafanya kolabo nyingi mno na nchi zingine kabla ya kukutana na diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…