Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,420
- 18,298
wasanii wa bongo sifa kibao ila njaa tupuHuwa wanaenda kuburudisha kwenye familia za watu,
kwa mfano wewe una kipaimara cha mtoto wako unampigia sim,anakuja fasta hata bila kuuliza malipo yatakuwaje.