hamna chochote kapata dyudyu ya ,motoAnaonekana kuyafurahia maisha sana.
Wazungu wana ile wanaita unconditional love.
[emoji57][emoji57]I'm married with alcohol
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]muoneToka nje kaongee na watu acha kujificha jf ewe mgonjwa
You honor you are right...Anaonekana kuyafurahia maisha sana.
Wazungu wana ile wanaita unconditional love.
Umejuaje nipo hospital kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole...upo hospital gani tukuletee matunda?
Vipelelezi hivyo vizunguDada wa kizungu aamua kufunga ndoa na mwanaume wa kimasai na kuishi umasaini. Yeye anasema ni mapenzi baina yao ndio yanapelekea kuwa pamoja kwa muda wa miaka tisa.
Je, yaweza kuwepo sababu zaidi ya kupendana? Je, yaweza kuwa kuna kikolombwezo cha mapenzi yao? Au ule mtindo wa jando?
Ndoa zetu ni za jamii, unaolewa unalea watoto wa wifi, watoto wa shemeji, wakwe. Kwa kifupi unakua sehemu ya familia. Hata ukigombana na mume wako ni kama unagombana na kaka yako. Mnayamaliza na maisha yanaendelea.You honor you are right...
Ila hawana Long term survival... huku kwetu kuwa na mwenza kwa miaka 50 au 70 ni kawaida...
Kila ndoa ina changamoto zake.
Mwenye matatizo ni yeye kutuona introverts ni wagonjwa wakati tupo sawa tu[emoji23][emoji23]Yaweza kuwa wote mna tatizo. Mnatatizana [emoji3]
Huyu dada amepandisha madarasa, anaweza kwenda kwao na kuandika series ya maisha ya Wamasai akawa millionaire kama mtunzi wa Harry Potter.Watazaaa,mmasai ateanda huko wazinguane aanze maisha mapya au arudi umasaini ,maza anapata custody ya watoto,nyumba ya bure na child support ya mtoto au watoto.
Bila shaka yupo field.Huyu dada amepandisha madarasa, anaweza kwenda kwao na kuandika series ya maisha ya Wamasai akawa millionaire kama mtumzi wa Harry Potter.
Beberu kwake kila kitu ni fursa. Nilipomuona alivyotengeneza mataulo ya kina mama, ile kichwa siyo.
Yah ukimsikiliza vizuri, anawaelimisha wakina mama juu ya haki zao, lakini anafanya taratibu akibalance mila zao lakini wasikubali kuonewa.Bila shaka yupo field.